Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii Strategy ya kubeba mitutu sio mimi naunga mkono Maandamano yasiyo na kikomo kuliko kuliingiza Taifa langu nilipendalo kwenye Civil War na kama lengo ni kuliingiza Taifa kwenye civil war basi nitaachana na Vyama nitasimama na Taifa.
Wewe simama na Kagame inatosha, tuachie Tanganyika yetu tuhangaike nayo
 
Kila kitu kabla hujakianza huonekana ni kigumu but mda ukifika kila kitu hua chepesi tu.
 
Mkuu simama na taifa, ila sisi wengine tumechoka kutawaliwa kwa shuruti na ccm, na hawako tayari kwa mabadiliko.
Pressure za maandamano ya AMANI Nchi nzima kukaa kwenye viwanja vya Bunge Pressure kama hizo za Kidemokrasia lakini sio kuichoma Nchi hilo mimi siafikiani nalo.
 
Pressure za maandamano ya AMANI Nchi nzima kukaa kwenye viwanja vya Bunge Pressure kama hizo za Kidemokrasia lakini sio kuichoma Nchi hilo mimi siafikiani nalo.
Unafanya maandamano wenzako wanaagiza vyombo vya dola kuja na bunduki. Hapo utaandamani vipi wakati ww huna silaha?
 
Wewe simama na Kagame inatosha, tuachie Tanganyika yetu tuhangaike nayo
Wewe ndiye unaweza kuwa Adui wa Nchi hii kwasababu kujiunga na JF hauhitaji Passport na sio lazima uwe Tanzania.
 
Unafanya maandamano wenzako wanaagiza vyombo vya dola kuja na bunduki. Hapo utaandamani vipi wakati ww huna silaha?
Mbona GenZ Kenya wameweza pamoja na Dola kuingiza Majeshi Barabarani? Kuchukua Mitutu na kuingia Porini hiyo ni Bad Idea.

Kwanza tuwashawishi Wananchi watuunge mkono kwenye maandamano yetu sio wawe wanatuangalia tu utasema hawako teyari kwa ukombozi.

Tufanye mikutano Nchi nzima na kuwaomba Wananchi watuunge mkono kwenye Reforms tunazozihitaji,wajue hata tuwafafanulie maana ya hizo Reforms.
 
Mbona GenZ Kenya wameweza pamoja na Dola kuingiza Majeshi Barabarani? Kuchukua Mitutu na kuingia Porini hiyo ni Bad Idea.
Ni kipi tunawashinda Kenya kuanzia, uchumi, afya, biashara, elimu nk?
 
Huyo lofa anatafuta lawama
 
Hakuna haja ya kufikia huko, Tanzania ni muhimu kuliko Vyama, tunachohitaji ni Reforms kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi na KATIBA BORA MPYA.
Unazifanyaje reforns kama anayepaswa kufanya mchakato amegoma?
Wakati mwingine tujifunze kuukubari ukweli hata kama tuko dhaifu na hatujiamini kinguvu
 
Unazifanyaje reforns kama anayepaswa kufanya mchakato amegoma?
Wakati mwingine tujifunze kuukubari ukweli hata kama tuko dhaifu na hatujiamini kinguvu
Mbona GenZ Kenya wameweza bila kubeba Mitutu?!
Wamemtumia njia za Kikatiba na Kidemokrasia na sote tulikuwa tunashuhudia kwanini sisi tutumie Mitutu.
 
Mbona GenZ Kenya wameweza bila kubeba Mitutu?!
Njia iliyotumika uliiona?
Vifo uliviona?
Nijuavyo mimi hatua yoyote ya kubadiri mifumo iliyopo ni sawa na ccm kuitoa madarakan.
Uliona wapi haki unapewa kwenye silver plate!
Damu itamwagika tu mtake msitake. La mkalie porojo.
 
Ni kipi tunawashinda Kenya kuanzia, uchumi, afya, biashara, elimu nk?
Matakwa ya GenZ Kenya yote yalikubaliwa na Serikali ya Rutto uzuri walikuwa na numbers walitumia haki yao ya Kikatiba kufanya maandamano na kudai HAKI zao sisi Katiba yetu pia inaruhusu maandamano kwanini tusidai HAKI zetu kwa kutumia njia hizo halali za Kikatiba kuliko kukimbilia Mitutu.
 
No Reforms, No Erections👈 taratibu itaeleweka.

Tumeanza kudinda sasa, makamandaaaa 📣peoples.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
#############

Ila msituni sieeeendi bana kukusimika urais Mh.
 
Maandamano haya ambayo watu wanauwawa ni ya amani? Kama ni maandamano ya amani yaheshimiwe, silaha zikianza kutumika na wapinzani nao wapate silaha ili tuheshimiane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…