Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona mwaka 2015 -20 walikuwa na wabunge wengi na madiwani wengi, ni Reforms gani zilifanywa?
Unajua mwaka huo jimboni kwa Lissu ilibidi Wananchi watake kuchoma Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ndipo Lissu alitangazwa kuwa Mbunge?

Unajua same applies to Sugu wananchi walilianzisha kweli?

Na unajua pia yaliyofanyika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019? Au uchaguzi mkuu mwaka 2020? Au tuseme umejisahaulisha yaliyofanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana ambapo mkwe wa Rais Mchwngerwa na watu wake waliengua karibu asilimia 90 ya wagombea wa upinzani?
 
Kwaiyo,
Anamaanisha vijana waanze kuingia msituni Kama M23 kuyasaka mabadiliko? šŸ¤”
 
Wewe unapingana na mwenyekiti kama nani? Mwenyekiti kasema chadema lazima wanunue bunduki zitakazotumika kwenye kushinikiza uchaguzi usifanyike!
Tuliwaambia huyu ni kichaa mkabisha; sasa yako wapi? Anajidhihirisha mwenyewe mchana kweupe!
Jiandae kisaikolojia bwashee!
Hajasema hivyo acha kumlisha maneno Mwenyekiti wangu rudia tena kusikiliza hiyo clip.

#FREE DR.SLAA
 
Al
Hakuna haja ya kufikia huko, Tanzania ni muhimu kuliko Vyama, tunachohitaji ni Reforms kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi na KATIBA BORA MPYA.
iliye mezani, penye unono kumnyang'anya mlo lazima
uwe mbabe. Atakayekuachia kirafiki mlo labda ameweka sumu. Amka.
 
Hii Nchi Ina vijana WA hovyo Sana.....
 

Attachments

  • IMG_20250104_143958.jpg
    IMG_20250104_143958.jpg
    117.9 KB · Views: 1
Al

iliye mezani, penye unono kumnyang'anya mlo lazima
uwe mbabe. Atakayekuachia kirafiki mlo labda ameweka sumu. Amka.
Hakuna haja ya kuachiana mlo wala nini watuachie sisi Wananchi tumchague Kiongozi tumtakae.
 
Hoja nzur,

Tatizo unazuia vipi uchaguzi?

Watu wana ndoto zao..., suo kujiunga na chama tu ili kupiga makofi..

Lakini zaidi , Huo ukata wa fedha anaouona hapo chama kisipo shiriki uchaguzi kitageuka chama fukara na watahongwa mwanzo mwisho na ndio end of the good days ya CDM .
Mkuu kuna watu tupo CCM na tunakula vizuri sana lakini bado tunaipa Chadema pesa wakiwa na huitaji kwasababu tunataka balance of power hapa nchini.
 
Mkuu kuna watu tupo CCM na tunakula vizuri sana lakini bado tunaipa Chadema pesa wakiwa na huitaji kwasababu tunataka balance of power hapa nchini.
Shida TL ukimpa hela kesho anakuita mla rushwa ...
Balance of power itatokea tu, CDM iwepo au isiwepo...
 
Back
Top Bottom