Nani atakuruhusu?kwanini tusidai HAKI zetu kwa kutumia njia hizo halali za Kikatiba
M23 ileee naiona ikiingia Bongosilaha zikianza kutumika na wapinzani nao wapate silaha ili tuheshimiane.
Hiyo haikwepeki ili tuheshimiane.M23 ileee naiona ikiingia Bongo
Sasa Sisiem hawataki!Hakuna haja ya kufikia huko, Tanzania ni muhimu kuliko Vyama, tunachohitaji ni Reforms kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi na KATIBA BORA MPYA.
Mbona tuliisha andamana maandamano ya AMANI Nchi nzima nani alimwaga Damu lakini tukianza wizi na uporaji kuchoma moto wa Mali za watu tutapigwa risasi.Njia iliyotumika uliiona?
Vifo uliviona?
Nijuavyo mimi hatua yoyote ya kubadiri mifumo iliyopo ni sawa na ccm kuitoa madarakan.
Uliona wapi haki unapewa kwenye silver plate!
Damu itamwagika tu mtake msitake. La mkalie porojo.
Mbona tumeishaandamana maandamano ya AMANI tukiwa na Mhe Mbowe na huko Arusha hadi Mvua ilitunyeshea tukajinafasi Barabara nzima.Maandamano haya ambayo watu wanauwawa ni ya amani? Kama ni maandamano ya amani yaheshimiwe, silaha zikianza kutumika na wapinzani nao wapate silaha ili tuheshimiane.
Ukilianzisha tifu la Msumbiji baadae alieomgoza tifu anakuja kuungana aliekua anampinga hapo unajisikiaje?Hiyo haikwepeki ili tuheshimiane.
Sio lazima watoke in one go tutatumia njia za bandu bandu hadi gogo linaanguka.Sasa Sisiem hawataki!
Sasa ipo hivi ndugu nikwambie ipo hivi ukiwa mfano unamdai mtu deni fulani akawa hataki kukupa haki yako ukienda kwa upole hakupi kiitu ila ukikaza hata kumkunja shati na kumchomoa simu na viatu ili akurudishie unachomdai nakwambia atarudisha tena haraka sanaMbona tumeishaandamana maandamano ya AMANI tukiwa na Mhe Mbowe na huko Arusha hadi Mvua ilitunyeshea tukajinafasi Barabara nzima.
Kwa sababu wanajua KATIBA ikichokonolewa tu hawana ChaoSasa Sisiem hawataki!
Na huo ndio ukweli usio nq shaka, waasi wengi huwa ni matokeo ya mifumo kandamizi ya serikali dhidi ya haki na uhuru wa raia na mali zao, unapo iona CCM wana jitutumua hadharani kusema hatuwezi kuendeshwa na wapinzani, basi jua kiburi hicho kinatoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama walivyo jimilikisha ili kufanya kazi za chama badala ya kazi za wananchi na nchi na kwa bahati mbaya vyombo hivyo huwa havijui vinapigania maslahi ya mamwinyi wachache tu walio liibia taifa kisha kupata nguvu ya kuvishurutisha vyombo hivyo.Inasemekana waasi ndio wanaoipenda nchi.
Huu ndio ushujaa sasa tunaoutaka 😆
Siyo kila siku kumuachia Mungu,
Adui unayemmudu usimwachie Mungu, pambana naye😂😂
Chawa mjinga sana wewe!Hoja nzur,
Tatizo unazuia vipi uchaguzi?
Watu wana ndoto zao..., suo kujiunga na chama tu ili kupiga makofi..
Lakini zaidi , Huo ukata wa fedha anaouona hapo chama kisipo shiriki uchaguzi kitageuka chama fukara na watahongwa mwanzo mwisho na ndio end of the good days ya CDM .
Mimi ntakiwasha bungeni mmoja baada ya mwingine...pambafuPutin tunaomba shusha kontena baba mm nitaanza na lukas risasi ya tumbo🤣🤣