Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Njia iliyotumika uliiona?
Vifo uliviona?
Nijuavyo mimi hatua yoyote ya kubadiri mifumo iliyopo ni sawa na ccm kuitoa madarakan.
Uliona wapi haki unapewa kwenye silver plate!
Damu itamwagika tu mtake msitake. La mkalie porojo.
Mbona tuliisha andamana maandamano ya AMANI Nchi nzima nani alimwaga Damu lakini tukianza wizi na uporaji kuchoma moto wa Mali za watu tutapigwa risasi.

Ukisema unaandamana halafu wengine wanapora wanachoma moto mali za watu tutapigwa risasi.
 
Maandamano haya ambayo watu wanauwawa ni ya amani? Kama ni maandamano ya amani yaheshimiwe, silaha zikianza kutumika na wapinzani nao wapate silaha ili tuheshimiane.
Mbona tumeishaandamana maandamano ya AMANI tukiwa na Mhe Mbowe na huko Arusha hadi Mvua ilitunyeshea tukajinafasi Barabara nzima.
 
Uchaguzi wa 2025 umeisha na Ccm wameshinda,,,chadema wabadilishe muda wa kufanya uchaguzi wa chama,,,hauwezi kwenda kwenye uchaguzi mkuu huku mwaka huo huo na wao wamefanya uchaguzi ndani ya chama,,,,,mnaona walivyopasuka?hii ndo furaha yetu sisi CCM
 
CCM wote kuanzia Samia hakuna wa kuelewa hojaza Tundu Lissu - ile ni akili kubwa.
 
Mbona tumeishaandamana maandamano ya AMANI tukiwa na Mhe Mbowe na huko Arusha hadi Mvua ilitunyeshea tukajinafasi Barabara nzima.
Sasa ipo hivi ndugu nikwambie ipo hivi ukiwa mfano unamdai mtu deni fulani akawa hataki kukupa haki yako ukienda kwa upole hakupi kiitu ila ukikaza hata kumkunja shati na kumchomoa simu na viatu ili akurudishie unachomdai nakwambia atarudisha tena haraka sana

Kuna jamaa nilimuazima mali fulani kiteendea kazi ila ni cha gharama sana hivi kikapita kipindi km mwezi na siku kadhaa jamaa nikawa nakutana nae kwa upole tu namwambia rudisha jamaa anasema atarudisha harudishi kumbe anatumia kupigia pesa muda wote huo na kwa kua kinamuingizia pesa akapanga kutonirudishia, siku hio nikamtolea uvivu nikaanza kumsaka mpaka nikamdaka jamaa hakuamini km mimi ndio yule yule au leo kakutana na mtu mwingine unaambiwa alinikimbia maana alijua naweza nikamfanya kitu mbaya na siku hio hio akarudisha kifaa laiti km nisingetumia mabavu asingerudisha na ndio ingekua imetoka hio, kwa hio kutumia mbavu kuna faida wakati mwingine
 
Lissu anapoteza muda tu. Watanzania waoga na wanafiki no 1 duniani. Hamna hata mtu mmoja anayeweza kuandamana kama kenya. Yeye ampigie simu Rais amwambie mm naunga juhudi mama kazi unazofanya, naomba niwekee b30 hizi porojo zangu simaanishi wala nini.
 
CCM si chama cha siasa bali ni kikundi cha wahuni waporaji wa mali asili za watanganyika.
 
Inasemekana waasi ndio wanaoipenda nchi.
Na huo ndio ukweli usio nq shaka, waasi wengi huwa ni matokeo ya mifumo kandamizi ya serikali dhidi ya haki na uhuru wa raia na mali zao, unapo iona CCM wana jitutumua hadharani kusema hatuwezi kuendeshwa na wapinzani, basi jua kiburi hicho kinatoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama walivyo jimilikisha ili kufanya kazi za chama badala ya kazi za wananchi na nchi na kwa bahati mbaya vyombo hivyo huwa havijui vinapigania maslahi ya mamwinyi wachache tu walio liibia taifa kisha kupata nguvu ya kuvishurutisha vyombo hivyo.
 
Yes, maana yake ni kuwa, kama wanatumia bunduki za polisi na wanajeshi wetu kuiba au kuingiza masanduku ya kura feki ili kuishindisha CCM kwenye uchaguzi, maana yake hapa ni kwamba, wanawatumia ujumbe wapinzani wao wa kisiasa kuwa na ninyi kama mnaweza tumieni bunduki kutuzuia sisi CCM tulioamua kuiba uchaguzi kwa kutumia bunduki..!!

This is very strong and tricky message iliyojaa kweli tupu ambayo wakirogwa wailazimishe kuipeleka kwenye dhana ya uchochezi, itazaa mengine mengi zaidi...

Huyu jamaa ni mwerevu na ni akili kubwa sana kuliko kawaida....

Hata hotuba zake, mara nyingi sio za ku - shout hovyo bali hutulia na kuwafundisha watu waelewe jambo fulani na kisha walitendee kazi...

Jamaa anaweza kufundisha watu jambo gumu lakini kwa lugha rahisi yenye kueleweka hata kwa mtu mwenye akili ndogo na nzito kabisa kuelewa, lakini kwa style ya ufundishaji ya Lissu mtu huyu huelewa haraka na kwa urahisi tu...
 
Tanzania tujitathmini - taifa halipaswi kuingia huko.
* Kila chama kikubali kuingia ktk chaguzi kwa kunadi sera zake - kikishindwa kukubalika kitulie;

* Ni ushamba wa hali ya juu kuwa na migogoro itokanayo na chaguzi - ukishindwa hufi,

* Serikali iangalie mara kadhaa ili kulinusuru taifa lisiingie ktk machafuko
 
Hoja nzur,

Tatizo unazuia vipi uchaguzi?

Watu wana ndoto zao..., suo kujiunga na chama tu ili kupiga makofi..

Lakini zaidi , Huo ukata wa fedha anaouona hapo chama kisipo shiriki uchaguzi kitageuka chama fukara na watahongwa mwanzo mwisho na ndio end of the good days ya CDM .
Chawa mjinga sana wewe!
 
Back
Top Bottom