Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ajaribu kubeba bunduki ndio atajua nchi hii inawatu wenye akili fyatu. Hivyo vyuma alivyofungwa mpaka sehemu nyeti vitang'olewa akiwa hai

..TL anasema CCM mnatumia bunduki, na Chadema hawataki bunduki ktk siasa.
 
..TL anasema CCM mnatumia bunduki, na Chadema hawataki bunduki ktk siasa.
Tundu amechanganyikiwa tu. Uongozi ni karama wala siyo kukariri vifungu vya sheria.

Screenshot_20250223_061228_Firefox.jpg
 
Shida TL ukimpa hela kesho anakuita mla rushwa ...
Balance of power itatokea tu, CDM iwepo au isiwepo...
Balance of Power huwezi kuipata kama katika kundi kiongozi mmojawapo akiwa mlafi na dikteta.
 
Pressure za maandamano ya AMANI Nchi nzima kukaa kwenye viwanja vya Bunge Pressure kama hizo za Kidemokrasia lakini sio kuichoma Nchi hilo mimi siafikiani nalo.
Maandamano ya Amani atakupa nani ruhusa hiyo ikiwa wenye bunduki ndio watoa ruhusa. Dhamira ya maandamano ikiwa kinyume na kumsifia malikia huwezi pewa kibali kamwe.

Utalazimisha watasema unataka kuleta tahatuki mwisho uvunjwe miguu na mabunduki na mabomu ya machozi.
 
Mbona tuliisha andamana maandamano ya AMANI Nchi nzima nani alimwaga Damu lakini tukianza wizi na uporaji kuchoma moto wa Mali za watu tutapigwa risasi.

Ukisema unaandamana halafu wengine wanapora wanachoma moto mali za watu tutapigwa risasi.
Nani alitoa kibali cha hayo maandamano?🤣 Mbona mi sijawahi kuyaona
 
Lissu anazidi kuongea mambo ambayo ni complicated kwa wananchi.
Dawa ni kuendelea kushawishi wananchi wagomee uchaguzi.
 
Tanzania tujitathmini - taifa halipaswi kuingia huko.
* Kila chama kikubali kuingia ktk chaguzi kwa kunadi sera zake - kikishindwa kukubalika kitulie;

* Ni ushamba wa hali ya juu kuwa na migogoro itokanayo na chaguzi - ukishindwa hufi,

* Serikali iangalie mara kadhaa ili kulinusuru taifa lisiingie ktk machafuko
Kushindwa kuna madhara makubwa sana kwa maslahi ya Chama tawala ndio maana hawawezi kubali washindwe.

Kinachotakiwa ni kuweka mizani sawa ili uchaguzi uwe wa uhuru na haki. Hapo ina maana kuwepo tume huru ya uchaguzi ambayo haiko affilliated na vyama vya siasa ama Serikali. Huwezi kuwa na tume ya uchaguzi ambayo viongozi wake wako appointed na raisi na ndiye anayewalipa mishahara halafu wachague mtu tufauti na huyo wenye maslahi naye.

Jambo kama hili mbogamboga hawawezi kulikubali sababu wanajua watalamba garasa😁! Wanajua fika washachokwa ila watafanyaje biashara na uwekezaji wao mwingi uta collapse nchi ikienda upinzani. Hakutakuwa na zile fair fair za makada.
 
Ni Lissu pekee anayesema ukweli muuaji lazima apewe ukweli CCM wanatuona mazuzu lissu piga hapohapo
 
Mzee wa KUROPOKA kwenye ubora wake, hapa CHADEMA mtakumbuka Freeman Mbowe. Mumeingia choo cha mashoga, hamtoboi


Wewe chawa, kafuate boxer yente picha ya mama. Chawa akili ya kutafakari utaipata wapi? Wewe akili uliyobakiziwa ni ya kusifia tu!!
 
Kama namuona Mzee Wasira huko aliko anaamshwa usingizini halafu anawekewa hiyo clip halafu utamsikia Uhaini huu...!!!!😆😆😁
Sikuizi jina lake alitamkwi "mzee" bali MAREHEMU WASIRA
 
Dawa ya moto ni moto, huku ndio wanakokutaka wenyewe, Polisi na vyombo vya dola warudi kwenye majukumu yao ya halali, uchaguzi waachie vyama vya siasa
Hakuna dawa ya moto Tanzania hii lete moto upewe moto utatulia tuli ,tatizo la Tanzania watu wa vyombo vya usalama ni makada waaminifu wanalamba teuzi za ukuu wa mkoa na wilaya kuthibitisha hili ,Nyerere alikuwa genius kutengeneza CCM moja chama Cha kipekee duniani.
 
Duuuuh kwahiyo Hizo bunduki zitatumika kumuua Nani?

Wana uhakika hazitaua watoto, wanawake au watu wasio kuwa na muda wa kujua au kujali ni nani yupo madarakani?

Kwahiyo wanamaanisha kila raia asieridhika na sheria au kanuni fulani ya nchi ashike bunduki?

Kama haya ndio mawazo ya kuzuia uchaguzi mwaka huu. Wahusika warudi wakakae tena waje na mbinu nyingine.

Amani ya nchi ni bora zaidi sana kuliko matamanio ya wanasiasa kutaka madaraka ya nchi.
Jibu ni ndiyo kwa sababu hata wao hutumia bunduki kulazimisha kilicho haramu na kisicho takiwa na raia
 
Back
Top Bottom