Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Kwa miaka yake yote ya umaarufu TL hajawahi kushughulika na kitu kingine zaidi ya kutetea watu mahakamani.Ndio tunauliza je magufuli anauwezo wa kuongoza tuwe realistic is he a presidential material?
Kma lisu hawezi je umetumia vigezo gani kumpima ilihali hajawahi kuwa Rais wa nchi???
Je unaweza nitajia vigezo vya presidential material??
JPM kabla ya kuwa rais alikuwa waziri katika wizara kadhaa, anaijua nchi hii kinyumenyume, anazijua hulka za kiuongozi za kitanzania, Lissu ni mtaalam wa sheria pekee, huko kwingineko anababiababia tu.
Lissu ni mjenzi wa hoja kwa sababu ya uanasheria wake, lakini hana maarifa mengine ya sekta nyingine, JPM anayo maarifa mengi na ni mtu anayetaka kazi ziende na sio kupiga porojo.
TL anafaa huko huko kwenye uongozi wa TLS, hana background ya kiuongozi kwa maana ya kutokuwa na maisha mengine zaidi ya kuvaa majoho ya wanasheria.