Tundu Lissu: Je, mapambano yake yamefika mbali kupita kiasi?

Tundu Lissu: Je, mapambano yake yamefika mbali kupita kiasi?

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,789
Reaction score
22,756
Chanzo: BBC

BBC Africa Eye inamwangazia kiongozi wa upinzani wa Tanzania aliyeko kizuizini, Tundu Lissu, ambaye sasa anakabiliwa na changamoto kubwa zaidi katika maisha yake ya kisiasa. Baada ya kutumia zaidi ya mwaka mmoja kizuizini kwa mashtaka ya uhaini, Lissu hapiganii tu uhuru wake bali huenda pia maisha yake.

Akipatikana na hatia, anaweza kukabiliwa na adhabu ya kifo.BBC Africa Eye inachunguza maisha, mapambano na urithi wa kisiasa wa mmoja wa viongozi mashuhuri zaidi wa upinzani nchini Tanzania, na kuangazia maana ya kesi yake kwa mustakabali wa demokrasia nchini humo.
1784006234419.png


 
Back
Top Bottom