Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, Kama Kutia nia tu unapitisha bakuli. Ukipewa nchi si Tutakuwa ombaomba?

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
IMG_20200615_231417.jpg

Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?

Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.

Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
Screenshot_20200615-231400_Twitter.jpg
 
Aysee... Hii sio kabisa, kuwa ombaomba ni dalili ya uvivu. Achape kazi
 
Tunapata aibu nchi nzima maana huyu jamaa anaamini sana katika kuomba omba kwani aliwaimsema vibaya sana Magufuli na kusema Tanzania hatuwezi kufanya chochote bila kupewa misaada kutoka kwa wazungu, nahii tabia yake inawezekana ndiyo maana anaelewana sana na mwenyekiti wake.

Na hii tabia tunawashauri watu wa karibu muwaambie kuwa hii tabia ya aibu na wamezoea sana hasa katika mikutano yao ilikuwa kama umeenda kanisani au msikitini kwani kukamuliwa sadaka ni lazima wametengeneza kizazi cha kuomba omba kama matonya sasa kama wakichukua nchi itakuwa balaa kwani kuamini katika kuomba omba ni aibu. Magufuli yeye anasema sisi sio maskini.
 
Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960

Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?

Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.

Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961

Halikuhusu tuachie sisi wanachadema.Wewe endelea kusifu na kuabudu mungu wa chattle.

Tena ukome wewe kitimoto wa lumumba
 
Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960

Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?

Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.

Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961
Ahsante kwa kusaidia kusambaza tangazo hili. Tutaitikia kwa mwito mmoja. Sio kitu cha ajabu.
Fundraising in the 2020 United States presidential election - Wikipedia
 
Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960

Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?

Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.

Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961
Lissu ameishaona njia rahisi ya kupata hela ni kuwa ombaomba! Mnakumbuka pale alipoomba eti watoto wake waende shule? Na wakati huo bunge likiwa limempatia zaidi ya million 200!

Bado anaona kuomba kunamtajirisha zaidi - kutangaza nia hayuko serious bali ni mbinu za kuombea! Kila akipata sababu lazima anaitumia kuomba pesa.
 
M
Tunapata aibu nchi nzima maana huyu jamaa anaamini sana katika kuomba omba kwani aliwaimsema vibaya sana Magufuli na kusema Tanzania hatuwezi kufanya chochote bila kupewa misaada kutoka kwa wazungu, nahii tabia yake inawezekana ndiyo maana anaelewana sana na mwenyekiti wake.
Na hii tabia tunawashauri watu wa karibu muwaambie kuwa hii tabia ya aibu na wamezoea sana hasa katika mikutano yao ilikuwa kama umeenda kanisani au msikitini kwani kukamuliwa sadaka ni lazima wametengeneza kizazi cha kuomba omba kama matonya sasa kama wakichukua nchi itakuwa balaa kwani kuamini katika kuomba omba ni aibu. Magufuli yeye anasema sisi sio maskini.
Msikitini hawalazimishi (kukamuliwa) sadaka! Nenda kasali, swala ikiisha simama uende zako.
 
Wenzake wametangaza nia kimya kimya ye tayari kapitisha BAKULI... huyu jamaa ni OMBAOMBA
 
Nimemkumbuka yusuph manji kabla na baada ya mchakato wa urais 2015
 
Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960

Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?

Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.

Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961
Huu ni utapeli
 
Tangazo lako limenifanya nikajua Kuna michango inahitajika nakimbilia hapo m pesa chapu nikarushe buku japo leo sijui nitakula nini!!!!yote ni mapenzi tu,Asante kwa kututangazia wewe mccm.
 
Angalia post zangu kama ninachembe chembe hata moja ya CCM.
 
Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960

Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?

Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.

Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961
Mkuu wewe binafsi mwezi unalipa bei Kama Kodi au wewe unajua kubwabwaja tu? Tuanzie hapo kwanza
 
Tunapata aibu nchi nzima maana huyu jamaa anaamini sana katika kuomba omba kwani aliwaimsema vibaya sana Magufuli na kusema Tanzania hatuwezi kufanya chochote bila kupewa misaada kutoka kwa wazungu, nahii tabia yake inawezekana ndiyo maana anaelewana sana na mwenyekiti wake.
Na hii tabia tunawashauri watu wa karibu muwaambie kuwa hii tabia ya aibu na wamezoea sana hasa katika mikutano yao ilikuwa kama umeenda kanisani au msikitini kwani kukamuliwa sadaka ni lazima wametengeneza kizazi cha kuomba omba kama matonya sasa kama wakichukua nchi itakuwa balaa kwani kuamini katika kuomba omba ni aibu. Magufuli yeye anasema sisi sio maskini.
Trump na utajiri wake na ule wa nchi yake bado alichangisha pesa ya campagn,ccm Kila mwaka wa uchaguzi lazima waibe pesa ya umma kufanya campaign,Sasa kuiba na kuomba kipi Bora? Zero brain ninyi
 
Back
Top Bottom