Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, Kama Kutia nia tu unapitisha bakuli. Ukipewa nchi si Tutakuwa ombaomba?

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, Kama Kutia nia tu unapitisha bakuli. Ukipewa nchi si Tutakuwa ombaomba?

Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960

Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?

Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.

Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961
Kama tulivyo kwa sasa.
 
Mleta mada sidhani kama unajua unaishi karne ipi! anyway, umeonyesha ulivyo mbumbumbu wa mambo yanayondelea duniani kwa miaka mingi sasa.
Umeishia kutukana bila huja na supportive arguments ya hoja yako mpaka ukaona utukane.
 
unahitaji kuelimishwa kidogo ndugu kuhusu michango ya kampeni.

hata wawania urais wa nchi kama USA (akiwemo tajiri Donald Trump) huwa nao wanatembeza bakuli kwenye kampeni.

usiishie kusoma Uhuru, Tanzanite, Jamvi tu au kuangalia tv channels za TBC, Channel 10, ITV tu.
jishughulise kufuatilia kwenye vyombo vya habari vinavyoeleweka!
Sida sasa ni stage ya kutia nia tu anaomba michango ya kufanya nini wakati ni kiasi cha kuchukua formu kutafta wadhamini bac. Mbwembwe zote za nini, akikatwa je tuanze kujutia michango yetu?
 
Sida sasa ni stage ya kutia nia tu anaomba michango ya kufanya nini wakati ni kiasi cha kuchukua formu kutafta wadhamini bac. Mbwembwe zote za nini, akikatwa je tuanze kujutia michango yetu?
wewe jamaa wewe!
 
I thought alivyoenda kuisema nchi yake vibayaa huko kwa mabeberu watamusponsor [emoji38].
Since when kiongozi wa nchi nyingine akaja kukulalamikia nchi yake akiwa tz !?
Mabeberuu wenyewe ni opportunist tu na analijua Hilo hapo ndioo nlipomvua nyota zote.
 
Back
Top Bottom