Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960
Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?
Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.
Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961