Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Hawa mbung'o hawatakuelewa. Halafu utadhani wamesetiwa. Angalia wanavyoongoza kwa kitu cha wazi na cha kijinga kama hicho. Jiwe mwenyewe wafanyabiashara 2015 walichanga hadi 1bn kwa mtu mmoja leo wanajifanya hamnazo. Akili ndogo kweli hao jamaa.Ahsante kwa kusaidia kusambaza tangazo hili. Tutaitikia kwa mwito mmoja. Sio kitu cha ajabu.
Fundraising in the 2020 United States presidential election - Wikipedia
Huyu anajua urais hapati bali anatumia nafasi hii yeye binafsi na genge lililoko nyuma yake kujinufaishaHiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960
Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?
Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.
Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961
[emoji23][emoji23][emoji23]Aysee... Hii sio kabisa, kuwa ombaomba ni dalili ya uvivu. Achape kazi
hii ni fursa kwa wafanyabiashara ua wazee wa kubet wamuunge mkono bahati mbaya anaweza akawa laisi akajawalipa ila kuwa raisi si rahisiHiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960
Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?
Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.
Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961
Wabunge wa Chadema walikuwa wanakatwa pesa kila mwezi kutoka katika mishahara yao ili itumike kwenye kampeni za uchaguzi, bakuli za nini tena?Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960
Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?
Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.
Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961
unahitaji kuelimishwa kidogo ndugu kuhusu michango ya kampeni.Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960
Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?
Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.
Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961
Na kula mishkaki.Anataka kupiga hela na kuendelea kubaki Ulaya! Kunywa bia
Lissu hawezi kuja Tanzania!
Bora kuwaomba kuliko kuwaibia....aisee kila nikikumbuka 1.5 trillion nasikitika Sana....Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
View attachment 1479960
Haiwezekani kutia Nia tu ya kugombea a
pitishe bakuli. Inamaana uwezo wake wa mwisho wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuomba omba michango?
Hii ni aibu kwa chama na viongozi wa CHADEMA mnatakiwa mmzuie hii tabia. Yani mchakato ndyo unaanza yeye anaomba kuchangiwa kwani yeye ndye nani? Mbona wenzake hawajapitisha bakuli.
Honestly, Tundu Lisu nimekushusha sana kwa hili. Tunajua ulipata matatizo but usiwe kama wale walemavu ambao mwisho wao wa kufikiria jinsi ya kupata pesa ni kuwa ombaomba. Hebu kuwa mbunifu, you are so smart than this, achana na Mabakuli. Tutaogopa kukupa nchi kama akili yako inafikiria kuombaomba tu.
View attachment 1479961
Sasa wenzake wanakuwa wapo kwenye uwanja wa vita.unahitaji kuelimishwa kidogo ndugu kuhusu michango ya kampeni.
hata wawania urais wa nchi kama USA (akiwemo tajiri Donald Trump) huwa nao wanatembeza bakuli kwenye kampeni.
usiishie kusoma Uhuru, Tanzanite, Jamvi tu au kuangalia tv channels za TBC, Channel 10, ITV tu.
jishughulise kufuatilia kwenye vyombo vya habari vinavyoeleweka!