Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, Kama Kutia nia tu unapitisha bakuli. Ukipewa nchi si Tutakuwa ombaomba?

Kama tulivyo kwa sasa.
 
Mleta mada sidhani kama unajua unaishi karne ipi! anyway, umeonyesha ulivyo mbumbumbu wa mambo yanayondelea duniani kwa miaka mingi sasa.
Umeishia kutukana bila huja na supportive arguments ya hoja yako mpaka ukaona utukane.
 
Sida sasa ni stage ya kutia nia tu anaomba michango ya kufanya nini wakati ni kiasi cha kuchukua formu kutafta wadhamini bac. Mbwembwe zote za nini, akikatwa je tuanze kujutia michango yetu?
 
Sida sasa ni stage ya kutia nia tu anaomba michango ya kufanya nini wakati ni kiasi cha kuchukua formu kutafta wadhamini bac. Mbwembwe zote za nini, akikatwa je tuanze kujutia michango yetu?
wewe jamaa wewe!
 
I thought alivyoenda kuisema nchi yake vibayaa huko kwa mabeberu watamusponsor [emoji38].
Since when kiongozi wa nchi nyingine akaja kukulalamikia nchi yake akiwa tz !?
Mabeberuu wenyewe ni opportunist tu na analijua Hilo hapo ndioo nlipomvua nyota zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…