Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
YEYE MWENYEWE HUWAGA ANAKIMBIA ANAMUACHIA MBOWE NA BINTI YAKE WAANDAMANE NAYEYE NI MUOGA WA MABOMU ASIWADANGANYE KIBOKO YAKE NI MBOWE TU HUYU MHUNIMakamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara Tundu Lissu, amewataka wanachama wa chama hicho kutokuwa waoga katika kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi, Mhe. Lissu meyasema hayo wakati akisalimiana na wananchi wa kata ya Lamadi wilayani Busega Mkoa wa Simiyu, Leo Nov 21, 2024 akiwa njiani kuelekea Wilaya ya Tarime mkoani Mara, ambapo jioni atakuwa na mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
View attachment 3157692
Una Sound kama zwazwaYEYE MWENYEWE HUWAGA ANAKIMBIA ANAMUACHIA MBOWE NA BINTI YAKE WAANDAMANE NAYEYE NI MUOGA WA MABOMU ASIWADANGANYE KIBOKO YAKE NI MBOWE TU HUYU MHUNI
Hii ndio njia sahihi ya kuweza kuikabili CCM. Ni mwendo wa jino kwa jino, jicho kwa jicho, kuchomwa Moto kwa kuchoma moto!Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara Tundu Lissu, amewataka wanachama wa chama hicho kutokuwa waoga katika kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi, Mhe. Lissu meyasema hayo wakati akisalimiana na wananchi wa kata ya Lamadi wilayani Busega Mkoa wa Simiyu, Leo Nov 21, 2024 akiwa njiani kuelekea Wilaya ya Tarime mkoani Mara, ambapo jioni atakuwa na mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
View attachment 3157692
Kwa mkeo.Yeye akiwa wapi hayo mabomu
TrueMakamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara Tundu Lissu, amewataka wanachama wa chama hicho kutokuwa waoga katika kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchauzi huu wa Serikali za Mitaa na kuwataka kutokuwa waoga wa mabomu. Lissu ameyasema hayo wakati akisalimiana na wananchi wa Kata ya Lamadi wilayani Busega Mkoa wa Simiyu, Leo Novemba 21, 2024 akiwa njiani kuelekea Wilaya ya Tarime mkoani Mara, ambapo jioni atakuwa na mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.
R.i.p Ali KibaoFamilia yake iko ubelgiji, wanasiasa jamani!!
marais wastaafu na mawaziri wa chama tawala si tu wana familia mpaka na wajukuu wako huko, tuwaweke kundi gani?Familia yake iko ubelgiji, wanasiasa jamani!!
ZWAZWA NI WEWE NA UKOO WAKO WOTE MNAJAMBISHWA NA HUYO KIWETE NA NYINYI MNAKUBALI?Una Sound kama zwazwa
hawachochei vurugu wala kusema watu wasiogope mabomumarais wastaafu na mawaziri wa chama tawala si tu wana familia mpaka na wajukuu wako huko, tuwaweke kundi gani?
HOTUBA YA KIOGA HAIJAWAHI TOKEA YAANI ANAWASUSIA WANANCHI YEYE ANAKIMBIA UGHAIBUNI ANAWAACHA WAO WASIO NA AKILI WAANDAMANE MJINGA TU NDIYO ANAWEZA KUFANYA HIVYOHotuba ya maana sana
Hatari na nusu ๐๐Kwa mkeo.
Wewe huogopi Panya?๐ผYeye watoto wake na mke wake wako Ubelgiji, wanalipwa na serikali ya huko mamia ya mamilioni. Sisi anataka tupigwe mabomu, wakati miguu yetu ndio inatupa riziki. Na hawajawahi kuwatembelea makada wa chadema waliopata vilema kwa shughuli za chama. Anapiga mdomo tu na kuondoka