Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Feb 15, 2025 #1 Wakuu Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa. Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana ameshawahi kuchungulia kifo na sasa hivi anaendelea na maisha Your browser is not able to display this video.
Wakuu Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa. Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana ameshawahi kuchungulia kifo na sasa hivi anaendelea na maisha Your browser is not able to display this video.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Feb 15, 2025 #2 Mindyou said: Wakuu Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa. Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana ameshawahi kuchungulia kifo na sasa hivi anaendelea na maisha View attachment 3236977 Click to expand... mgonjwa hastahili kufungwa bali kutibiwa, lakini pia kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila mdomo wala makelele ya binadamu mwingine bali neema na baraka za Mungu
Mindyou said: Wakuu Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa. Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana ameshawahi kuchungulia kifo na sasa hivi anaendelea na maisha View attachment 3236977 Click to expand... mgonjwa hastahili kufungwa bali kutibiwa, lakini pia kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila mdomo wala makelele ya binadamu mwingine bali neema na baraka za Mungu
A Animal Farm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 234 Reaction score 281 Feb 15, 2025 #3 Tlaatlaah said: mgonjwa hastahili kufungwa bali kutibiwa, lakini pia kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila mdomo wala makelele ya binadamu mwingine bali neema na baraka za Mungu Click to expand... Wewe ni mwana wa Ibilisi!
Tlaatlaah said: mgonjwa hastahili kufungwa bali kutibiwa, lakini pia kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila mdomo wala makelele ya binadamu mwingine bali neema na baraka za Mungu Click to expand... Wewe ni mwana wa Ibilisi!
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Feb 15, 2025 #4 Animal Farm said: Wewe ni mwana wa Ibilisi! Click to expand... kwamba ati mwanadamu moja anabwekebwekea wengine kuhusu kufa, kazi ambayo ni ya Mungu ni vichekesho kabisa yaani dah
Animal Farm said: Wewe ni mwana wa Ibilisi! Click to expand... kwamba ati mwanadamu moja anabwekebwekea wengine kuhusu kufa, kazi ambayo ni ya Mungu ni vichekesho kabisa yaani dah
Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 13,417 Reaction score 23,310 Feb 16, 2025 #5 Lissu kama anataka kufa afe au kama anajuwa anakaribia kufa basi afe pia. Ila kisingizio cha Katiba hapana, ajijipe ushijaa asiokuwa nao. Lissu atapiga kelele, na siku yake ya kufa ikifika atakufa tu, LAKINI Tanzania itaendelea kuwapo na watu wake. Kulikuwa na WAROPOKAJI kuliko Lissu kama Mtikila, Seif Sharriff Hamad, je wako wapi sasa
Lissu kama anataka kufa afe au kama anajuwa anakaribia kufa basi afe pia. Ila kisingizio cha Katiba hapana, ajijipe ushijaa asiokuwa nao. Lissu atapiga kelele, na siku yake ya kufa ikifika atakufa tu, LAKINI Tanzania itaendelea kuwapo na watu wake. Kulikuwa na WAROPOKAJI kuliko Lissu kama Mtikila, Seif Sharriff Hamad, je wako wapi sasa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 16, 2025 #6 Kila la kheri zake... Cc: Mahondaw
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Feb 16, 2025 #7 Mindyou said: Wakuu Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa. Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana ameshawahi kuchungulia kifo na sasa hivi anaendelea na maisha View attachment 3236977 Click to expand... Safari hii hakuna kukosea.
Mindyou said: Wakuu Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa. Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana ameshawahi kuchungulia kifo na sasa hivi anaendelea na maisha View attachment 3236977 Click to expand... Safari hii hakuna kukosea.