Ukweli hadithi ziko nyingi sana, hapa hata mataga hawawezi kukataaUkweli mtupu
Usitushirikishe nasisi kwenye unafki wakoSisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli
Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
Hao wasaliti wa nchi ni akina nani?Kuna wanafiki zaidi ya Wasaliti wa Nchi ?
Sheria inasemaje juu ya hilo mpaka msaliti anapewa hadi idhini ya kuchukua fomu ya kugombea uraisi?Hujui kina lissu ndio Wasaliti wa Nchi? Wanatumiwa na Mabeberu kuiba raslimali zetu
Kuteka watu ni kufuata sheria?Haha Lisu bwana msanii sana,
Kuna binadamu anaweza mfuta machozi mwenzake??
Hapa duniani ni Utawala wa Sheria tu.
Usipofuata sheria unapoteza haki yako.
Mfano huwezi sema eti kwakua umefanya kazi kwa muda flani ndio uachwe hata kama umefoji vyeti.
Au kwakua umeshajenga ndani ya hifadhi ya barabara uachwe tu.
Wameiba nini ?Hujui kina lissu ndio Wasaliti wa Nchi? Wanatumiwa na Mabeberu kuiba raslimali zetu
Kwahyo mikataba feki iliyotuibia madini yetu miaka na miaka alisaini lisu?. Vipi kuhusu mikata ya gesi nayo alisaini lisu.Hujui kina lissu ndio Wasaliti wa Nchi? Wanatumiwa na Mabeberu kuiba raslimali zetu
Sisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli
Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
Sisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli
Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
Lisu hataki maendeleo.Wapwa
Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche
Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana ifakara na Tanzania nzima.
Je wewe hadithi yako ni ipi.?
Haki huinua Taifa.
Hujui kina lissu ndio Wasaliti wa Nchi? Wanatumiwa na Mabeberu kuiba raslimali zetu
Hilo sitasahau pale viunga vya village.Sisi wanabulyanhulu 7 September yetu ni kokosa ajira baada ya babu yenu kuwafanyia visa Acacia.