Tundu Lissu: Kauli ya Diaspora watuache ni ya CCM, anayesema kauli hiyo anafanya kazi ya CCM

mpaka sasa lisu na mbowe hawaangaliani macho kwa macho. Wakiangaliana basi ni kwa aibu na unafiki wa kiwango cha 5G.

wanaviziana nani amuanze mwenzie.

ila Mbowe ni kama machale yamemcheza vile,
 
Yani ukitumwa watu wa lumumba unakuja kunichukua mimi? Mimi huyu kabisa?

Nani atumwe watu wa Lumumba kuwapeleka wapi? Tangu lini watu wa Lumumba wakawa dili?



Ulisikia nyimbo za Sayuni zikiimbika ugenini?
 
Sina uhusiano na Lumumba. Niko huru, nakosoa popote kwa masilahi ya Taifa. Siyo nyinyi mnaunga mkono ujinga wa Lissu/ Mbowe

Huna hadhi Wala hoja ya kujilinganisha na uliowataja hapo. Peleka mrejesho:

"Hatudanganyiki!"
 
Wacha nyodo Mkuu. Haikusaidii. Jikite kwenye hoja.
Tafuta level yako, mimi na block takataka zote ambazo siyo level yangu! Kama una argue mechanically, tafuta walio wako huko. Kama una argue philosophically njoo tuzungumze...... let us present our arguments syllogistically!....

When the major statement is wrong, whatever attractive the minor statement might be, the conclusion will be wrong!......................................nadhani unanielewa.

KWAHERI
 
Huyo SYLLOGIST! hajui principles za syllogism
 

Gwallo, nduguzo wanaendelea je?
 
Tafuta level yako, mimi na block takataka zote ambazo siyo level yangu!

Kama una argue mechanically, tafuta walio wako huko. Kama una argue philosophically njoo tuzungumze...... let us present our arguments syllogistically!....
Nenda ka Block basi, sio kumaka maka tu.
When the major statement is wrong, whatever attractive the minor statement might be, the conclusion will be wrong!......................................nadhani unanielewa.
Hueleweki

Fanya ulifwanyalo.
 
Kama kwa muono wako mada haimgusi mtu, utakuwa na matatizo makubwa kichwani.

Mada inatokana maongezi kati ya lisu na diaspora.

Hao wanaosemwa na lisu kuongea lugha ya ccm ni watu? Au ni nyumbu!

Kiswahili kipana. Nilimaanisha mada haimtaji awaye yote kwa jina. Bali wowote wenye kuongea lugha ya CCM kwa kujua au kutokujua.

Lugha ya CCM imeelezwa wazi kuwa ni lugha ya mafarakano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…