GE2025 Tundu Lissu: Kuanzia sasa nakaa gerezani kwasababu ya Tarehe 29, kesi imekwisha hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na Kesi ya Uhaini inayosikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam amesema kuwa mpaka sasa kesi dhidi yake imeshakwisha kutokana na ushahidi ambao umetolewa mpaka sasa na mashahidi watatu wa Jamhuri. Ameongeza kuwa kitakachoendelea kumuweka mahakamani ni tarehe 29 Oktoba siku ambayo imepangwa kwa ajili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Lissu hajafafanua zaidi kuhusu kauli hiyo.

View attachment 3492356
Hili kila mtu analifahamu.......lakini wakae wakijua tutawapelekea moto na hawataongoza kwa furaha.
 
Kauli yakimkakati sana hiyo , siyo kauli nyepesi kwa mshtakiwa wa kesi kubwa kama ya Uhaini ,siyo kauli nyepesi kwenye utawala wakiimla , siyo kauli nyepesi kwa mwanasiasa dhaifu ,siyo kauli nyepesi kwa .......ongezea
 
Mbona hilo liko wazi tangu mwanzo? Kuna wengine wanakinukisha huku nje. Ni mtiti mkali sana haijulikani wanaokinukisha wako wapi
 
..Mbona anangea kama yupo kwake, ama kijiweni.... comfortable kabisaa kama yupo na washkj wake dah
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na Kesi ya Uhaini inayosikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam amesema kuwa mpaka sasa kesi dhidi yake imeshakwisha kutokana na ushahidi ambao umetolewa mpaka sasa na mashahidi watatu wa Jamhuri. Ameongeza kuwa kitakachoendelea kumuweka mahakamani ni tarehe 29 Oktoba siku ambayo imepangwa kwa ajili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Lissu hajafafanua zaidi kuhusu kauli hiyo.

View attachment 3492356
Hakuna case tangu mwanzo. Ni lawlessness ya mtawala tu iliyomweka (na inayoendelea kumweka) Segerea.

Baada ya October 29, hiyo case itakuja kuwa abandoned ghafla bin vu (katika mazingira ya kutatanisha). *** the ruler and the entire contingent of thugs and chawas behind her!
 
IMG-20251023-WA0050.jpg
 
Alichokisema kina ukweli kwa 💯%
Na uzuri wengi tulijua tangu mwanzo hakuna kesi hapo, zaidi tu ya muendelezo wa matumizi mabaya ya madaraka kutokana tu na uwepo wa katiba mbovu.
Hapana.

Hata hii "Katiba Mbovu" hakuna mahali popote inapo ruhusu mambo haya wanayofanya hawa watu sasa hivi.
Hata pangekuwa na katiba toka mbinguni, hawa wasingesita hata mara moja kuiweka pembeni na kufanya uovu wanaofanya sasa hivi.

Wanayofanya sasa hivi hayafuati taratibu za aina yoyote ile; hata ile 'natural law' hawaitambui kabisa.
 
Mbona hilo liko wazi tangu mwanzo? Kuna wengine wanakinukisha huku nje. Ni mtiti mkali sana haijulikani wanaokinukisha wako wapi
Wewe umejuaje kuwa wapo wanakinukisha, au ni bange zimezidi kiasi kichwani mwako?
 
Back
Top Bottom