GE2025 Tundu Lissu: Kuanzia sasa nakaa gerezani kwasababu ya Tarehe 29, kesi imekwisha hapa

GE2025 Tundu Lissu: Kuanzia sasa nakaa gerezani kwasababu ya Tarehe 29, kesi imekwisha hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lissu hajawahi kuwa na kesi ya kumuweka ndani kipindi chote hiki, hii n tangu muda mrefu akae ndani mpaka uchaguzi upite ikiwezekana mpaka rais akiapishwa.
 
povu la nini kama unashindwa kutumia common sense?
Kwa hiyo hapo unajiona umetumia hiyo unayoiita 'common sense'; unajuwa maana yake ni nini?
Mjinga yeyote anaweza kupayuka lolote, na kusema katumia 'common sense'!
 
NI RASMI VIONGOZI WA CHADEMA WAMEWEKWA KIZUIZINI (DETENTION)

Maana yake kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Tundu Antipas Lissu amewekwa kizuizini, pia makamu wa mwenyekiti taifa (bara) John W. Heche naye ametiwa kizuizini (detention)

Viongozi hawa wa CHADEMA wanasubiri amri ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwatoa kizuizini.

SALIENT FEATURES OF THE DETENTION LAWS IN TANZANIA. Currently, there are about five different laws which...
 
Kwa hiyo hapo unajiona umetumia hiyo unayoiita 'common sense'; unajuwa maana yake ni nini?
Mjinga yeyote anaweza kupayuka lolote, na kusema katumia 'common sense'!
kwani we umetamka werevu gani zaidi ya kutaka kuanzisha ligi ya majibizano?
 
Yupo sahihi kabisa kesi yake ilitakiwa iishe leo baada ya shahidi mtaalam wa ovyo kutepeta!
Ushahidi wa kutengeneza wanaumbuka sasa mkutano ulikuwa wa wazi Tv magazeti vyote walisikia na maneno aliyotamka kisheria si kosa la Uhaini , wamejifunza sasa kubambikia kesi ili wapate vyeo imewaletea Aibu kubwa
 
Hapana.

Hata hii "Katiba Mbovu" hakuna mahali popote inapo ruhusu mambo haya wanayofanya hawa watu sasa hivi.
Hata pangekuwa na katiba toka mbinguni, hawa wasingesita hata mara moja kuiweka pembeni na kufanya uovu wanaofanya sasa hivi.

Wanayofanya sasa hivi hayafuati taratibu za aina yoyote ile; hata ile 'natural law' hawaitambui kabisa.
Mashahidi wameumbuka sana na pia iwe fundisho kwa wapenda kutoa ushahidi kwa kutumia picha video ambazo watu wengi waliona kwenye media na kesi kama hizi zinasaidia wananchi kujifunza sheria kujua haki zao pia
 
Kupitia kesi ya Lisu jamii wamejifunza vingi sana ikiwemo kujua kuwa wapo wengi wamefungwa kwa kukosa haki ya kisheria kwani watu masikini wasio na uwezo wakikutana mahakamani na watu kama Katuga na hao mashahidi wake wa mchongo lazima wanapata Taabu sana, Uonevu ni mkubwa yafaa katuga ajitafakari na pia mashahidi wajitafakari wamuogope mungu waende kutubu kwanza
 
kwani we umetamka werevu gani zaidi ya kutaka kuanzisha ligi ya majibizano?
Unajificha ficha humu usionekane wewe ni nguruwe tu kama wengine; ukifikiri watu hawawezi kujuwa unafiki mkubwa unaoutumia humu kuhadaa tu watu!
 
Lissu ni jabari la Sheria - kawagalagaza watu 50 hoi wanaomba maji.
 
Kupitia kesi ya Lisu jamii wamejifunza vingi sana ikiwemo kujua kuwa wapo wengi wamefungwa kwa kukosa haki ya kisheria kwani watu masikini wasio na uwezo wakikutana mahakamani na watu kama Katuga na hao mashahidi wake wa mchongo lazima wanapata Taabu sana, Uonevu ni mkubwa yafaa katuga ajitafakari na pia mashahidi wajitafakari wamuogope mungu waende kutubu kwanza
Unadhani gov itakiri udhaifu sasa, yaani watakausha kimya huku waki plot revenge

Lissu ame prove again and again incompetency iliyopo serikalin ni kubwa mno
 
Back
Top Bottom