Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuchukua fomu ya kuwania Urais wa JMT tarehe 8 Agosti jijini Dodoma

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuchukua fomu ya kuwania Urais wa JMT tarehe 8 Agosti jijini Dodoma

Hawa jamaa wameanza kuchanganyikiwa kabla ya mchakamchaka kuanza.

Mara tutaingia barabarani tukishindwa uchaguzi

Angalia sasa et wataenda kuchukua fomu tarehe 08/08/2020, siku ambayo ni sikukuu ya kitaifa ambapo ofis zote zitakuwa zimefungwa, hata ingekuwa siyo siku ya sikukuu siku hiyo ni jumamos.

Jamaa wanatengeneza drama ili ionekane wamenyimwa fomu .
 
Back
Top Bottom