Kujiongeza maana yake ni fujo. Sasa serikali ipo kwenye notisi, fanyeni mabadiriko kabla hawajajiongezaWakuu,
Hivi wananchi watakubali kweli kwenda kulala barabarani ili kuipa pressure serikali ili kuzuia Uchaguzi usifanyike?
Hizi njia anazotaka kutumia Lissu mbona zinaanza kutia shaka?
Siku ya leo akiwa Ikungi Singida, Lissu amesema:
"Tutazuiaje, kila mtu na ajiongeze. Ikungi hapa tukilala barabarani, wananchi wote tukilala barabarani watatuua wangapi? Tukikinukisha sawasawa, na tunasema haya mchana kweupe, tutazuia Uchaguzi"
HehehehWakuu,

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zamani nilijua ukiwa na kichwa kikubwa unakuwa na akili
USSR
Granted, this strategy may not work, but the truth is CCM will never voluntarily make any meaningful reforms. Inahitaji kulazimishwa by all means necessary. Sasa ni miongo zaidi ya mitatu tangu Tume ya Nyalali ilipopendekeza hizi reforms ambazo wapinzani wamekuwa wakizidai year in year out, lakini CCM na Serikali yake imeweka pamba masikioni. So, kuilazimisha CCM hakuepukiki, kama wapinzani kweli wanataka reforms zifanyike!Wakuu,