Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hivi wananchi watakubali kweli kwenda kulala barabarani ili kuipa pressure serikali ili kuzuia Uchaguzi usifanyike?
Hizi njia anazotaka kutumia Lissu mbona zinaanza kutia shaka?
Siku ya leo akiwa Ikungi Singida, Lissu amesema:
"Tutazuiaje, kila mtu na ajiongeze. Ikungi hapa tukilala barabarani, wananchi wote tukilala barabarani watatuua wangapi? Tukikinukisha sawasawa, na tunasema haya mchana kweupe, tutazuia Uchaguzi"