Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wewe hujapewa nishani ya Uzandiki leo ?Tutashitakiwa MIGA
Ni Yeye πππ₯
Wamekuwa kama futuhi ππCHADEMA imepuuzwa kwa sasa.haina sera wala ajenda za kugusa maisha ya watanzania.kwa sasa watanzania wanaendelea kuwa na imani kubwa sana na Serikali ya Rais Samia kwa kuwa imekidhi matarajio yao na kukata kiu yao.
Futuhi ππTaarifa za Uhakika kutoka CHADEMA , zimeeleza kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho , Tundu Lissu ataongoza Maandamano ya Amani Mkoani Manyara , baada ya kuahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko .
Katika kufanikisha jambo hilo Takatifu Lissu atasaidiwa na Mtu wa Mungu Godbless Lema pamoja na Mwakilishi wa Watanzania Dr Wilbrod Slaa .
Wote hawa watakinukisha kutokea Babati Mjini
Wewe ndio wale wanaitwa Wanyonge ?Futuhi ππ
Mwamba hachokiTaarifa za Uhakika kutoka CHADEMA , zimeeleza kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho , Tundu Lissu ataongoza Maandamano ya Amani Mkoani Manyara , baada ya kuahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko .
Katika kufanikisha jambo hilo Takatifu Lissu atasaidiwa na Mtu wa Mungu Godbless Lema pamoja na Mwakilishi wa Watanzania Dr Wilbrod Slaa .
Wote hawa watakinukisha kutokea Babati Mjini
Tumekuchoka wewe chawa katika nywele za uchafuniCHADEMA imepuuzwa kwa sasa.haina sera wala ajenda za kugusa maisha ya watanzania.kwa sasa watanzania wanaendelea kuwa na imani kubwa sana na Serikali ya Rais Samia kwa kuwa imekidhi matarajio yao na kukata kiu yao.
Sema masisiemu acha kutuzungumzia watanzania Huna mamlaka hayo we endeleza uchawa unaweza kulamba teuzi ukalambe watu miguuCHADEMA imepuuzwa kwa sasa.haina sera wala ajenda za kugusa maisha ya watanzania.kwa sasa watanzania wanaendelea kuwa na imani kubwa sana na Serikali ya Rais Samia kwa kuwa imekidhi matarajio yao na kukata kiu yao.
ππππSema masisiemu acha kutuzungumzia watanzania Huna mamlaka hayo we endeleza uchawa unaweza kulamba teuzi ukalambe watu miguu