Tundu Lissu: Kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu

Alivyosema atajitete nikaona ni Ego tu … kumbe tusingejua vitu vingi , hivyo basi serikali yangu pendwa chukueni huu ushauri achaneni na huyo bwana mnaweza mkawa mnashindana na nguvu kuu iliyowazidi nyote…

"Kwa hiyo, kwa habari ya jambo hili nawashauri, jiepusheni na watu hawa. Waachieni waende zao! Kwa maana kama kusudi lao na shughuli yao imetokana na mwanadamu, haitafanikiwa. Lakini ikiwa imetoka kwa Mungu, hamtaweza kuwazuia watu hawa. Badala yake mtajikuta mnapigana na Mungu."
Matendo 5:34
 
Wapokee ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…