Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
✍️📝👍🤝🙏Lowassa alituhumiwa tu lakini baadae Tume ya Dr Mwakyembe ikaogopa kwenda kumhoji na Edward Lowassa akatangaza Kujiuzulu na kumtaja mwenye Richmond huku Dr Mwakyembe mwenyewe akiwa na Kampuni ya kufua Umeme wa Upepo Singida
Na Lowassa hakuwahi kushtakiwa popote 😂