Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuongoza Watu Wajinga ni rahisi sana, tumekuwa Taifa la kuogopa miungu Watu badala ya kumtegemea Mungu wa Mbinguni!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
βœοΈπŸ“πŸ‘πŸ€πŸ™
 
Serikali ingemtaka mabeki 3 wangeshughulika naye

Ni beki 3 wa Serikali Ndiye alimuwahisha Tundu Lisu hospital na kuokoa maisha yake kama ulikuwa hujui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema nyie watoto Wadogo mnaongeaga tu mkishakunywa hayo maenergy
Mpango wa kumuondoa TL uliwekewa kizingiti na Mungu mwenyewe.
Mungu na serikali nani ni zaidi!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…