Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
nawe piaJumapili
🙏nawe pia
HakikaHata hiyo kauli ni matokeo ya maridhiano. Ana haki ya kulitaka hilo!
Ni ujuha wa hali ya juu sana ukidai haki yako unaonekana unachuki!!Jamaa bado anachuki basi kuanzia report ya sokoine iwekwe wazi
Mlinda legacy tayari nimeweka sawa!!Leo ni jumapili?
✍️Jamaa bado anachuki basi kuanzia report ya sokoine iwekwe wazi
Hili linakera sana nchi hii imekuwa ya mabango ya kiasiasa kuanzia dar hadi mwanza koteee mabango..stupid!LISSU yupo very straight and strictly, hapepesi macho wala kung'ata maneno. NB; hayo anayodai yawekwe wazi na yakiwekwa waz. Je itakua chuki au ni matusi? Jumamosi iwe njema kwenu!!View attachment 2564636
Jamaa kajaa race hadi kasahau siku, siasa hizi daahnawe pia
jamaa ni tenet huyu, entropy ime go forward in timeJamaa kajaa race hadi kasahau siku, siasa hizi daah
Nchi siyo ya wanasiasa tu“Kupamba mji kwa mabango hakuleti umoja wala kuondoa uhasama. Katiba Mpya, Mfumo Huru wa Uchaguzi, Tume ya Ukweli, Haki & Upatanishi ndio jibu. Ondoa ukimya juu ya waliotaka kuniua & walioua, kupoteza & kutesa Watanzania wengine. Lipa haki zangu & za wengine ndio utuwekee mabango!”
Tundu Lissu
View attachment 2564640
===
LISSU yupo very straight and strictly, hapepesi macho wala kung'ata maneno. NB; hayo anayodai yawekwe wazi na yakiwekwa waz. Je itakua chuki au ni matusi? Jumamosi iwe njema kwenu!
“Kupamba mji kwa mabango hakuleti umoja wala kuondoa uhasama. Katiba Mpya, Mfumo Huru wa Uchaguzi, Tume ya Ukweli, Haki & Upatanishi ndio jibu. Ondoa ukimya juu ya waliotaka kuniua & walioua, kupoteza & kutesa Watanzania wengine. Lipa haki zangu & za wengine ndio utuwekee mabango!”
Tundu Lissu
View attachment 2564640
===
LISSU yupo very straight and strictly, hapepesi macho wala kung'ata maneno. NB; hayo anayodai yawekwe wazi na yakiwekwa waz. Je itakua chuki au ni matusi? Jumamosi iwe njema kwenu!