Tundu Lissu: Kupamba mji kwa mabango hakuleti umoja wala kuondoa uhasama

Tundu Lissu: Kupamba mji kwa mabango hakuleti umoja wala kuondoa uhasama

ila jamaa ni mbinafsi sana.

Yaani anataka katiba mpya kwa ajili ya kufaidi marupurupu yake tu!
 
Lissu ana expire vibaya sana anawaza hela za kupewa duuh akili finyu sana
Yaan mtu kudai haki yake inakua anapewa? Sasa hapa mbona ww ndo inaonyesha una akili finyu kbs!!
 
“Kupamba mji kwa mabango hakuleti umoja wala kuondoa uhasama. Katiba Mpya, Mfumo Huru wa Uchaguzi, Tume ya Ukweli, Haki & Upatanishi ndio jibu. Ondoa ukimya juu ya waliotaka kuniua & walioua, kupoteza & kutesa Watanzania wengine. Lipa haki zangu & za wengine ndio utuwekee mabango!”

Tundu Lissu

View attachment 2564640

===

LISSU yupo very straight and strictly, hapepesi macho wala kung'ata maneno. NB; hayo anayodai yawekwe wazi na yakiwekwa waz. Je itakua chuki au ni matusi? Jumamosi iwe njema kwenu!
Kuna mwanadada kule twitter aliandika " siasa za awamu ya sita ni siasa za picha kwajili ya kudanganya wapinzani na wahisani" ndicho kinachoendelea hadi sasa.
Bila shaka alikuwa mbele ya muda sana.
 
Back
Top Bottom