Tundu Lissu: Kupamba mji kwa mabango hakuleti umoja wala kuondoa uhasama

ila jamaa ni mbinafsi sana.

Yaani anataka katiba mpya kwa ajili ya kufaidi marupurupu yake tu!
 
Lissu ana expire vibaya sana anawaza hela za kupewa duuh akili finyu sana
Yaan mtu kudai haki yake inakua anapewa? Sasa hapa mbona ww ndo inaonyesha una akili finyu kbs!!
 
Aache pia kulamba asali..na mwenzake mbowe
 
Kuna mwanadada kule twitter aliandika " siasa za awamu ya sita ni siasa za picha kwajili ya kudanganya wapinzani na wahisani" ndicho kinachoendelea hadi sasa.
Bila shaka alikuwa mbele ya muda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…