Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, Kura yangu umepata

Ufisadi utahamia majimboni, Hapa jimbo la Hai kwa miaka 15 iliyopita pesa za mfuko wa jimbo umefanya kazi mwaka huu tuu, na pesa ziligawiwa kwenye miradi na Mkuu wa wilaya.

Kwa miaka 14 hizi pesa Mbowe alikuwa anapeleka wapi? jana aliulizwa hili swali Uswaa Machame, na mkutano ulivunjika na akaondoka kwa kuzomewa.

Labda sehemu zingine lakini Kilimanjaro labda jimbo la Same Kusini (mwana mama ) na Same Mashariki (katika vitu Mzee Cleopa Msuya amefanikiwa ni dicipline kwa kizazi chake )lakini maeneo yaliyo baki tumepigwa na wabunge ni kutoka Upinzani.
 
Daaah hadi naona aibu kukujibu!! Kwa hiyo kwa uelewa wako wewe majimbo ni haya majimbo ya uchaguzi wa wabunge???!

Daah CCM kweli imezalisha vijana vilaza sana!! Polee sana kwa kweli!!
 
Katiba pia inasababisha umasikini.Katiba mbovu inasabisha bunge kibogoyo, kuzalisha wanasiasa ambao uwezo wao wa kujenga hoja ni mdogo 'poor skill set ' bunge kibogoyo linasababisha utendaji mbovu wa serikali kuu 'weak central government'.Hivi vyote kwa ufupi husababisha mkwamo wa kiuchumi wa Taifa 'Weak constitution is a main cause of poor leadership that lead to poor Nation'
 
Kweli kabisa! Sera ya katiba mpya nayo imo kwenye ilani ya Chadema ! Chadema wako vizuri sana kwa kweli!
 
Daaah hadi naona aibu kukujibu!! Kwa hiyo kwa uelewa wako wewe majimbo ni haya majimbo ya uchaguzi wa wabunge???!

Daah CCM kweli imezalisha vijana vilaza sana!! Polee sana kwa kweli!!

CCM inatufanyia kazi lakini -- tunaiona haitoshi, wangefanya vizuri zaidi.

Chadema inatuuzia maneno-au kwa kifupi hewa -- sasa sijui turidhike na hewa? Kwa sifa ya kuwa upinzani tunaendelea kutaabika tuu, haya maneno pelekeni sehemu ingine ya nchi nao wakajaribu au waendelee kuwa upinzani.

Wacha Kilimanjaro iiachane na upinzani tuelekee CCM 2020.
 
Aisee umetumia kilevi au??? Mbona unaongea vitu havieleweki???
 
Kabisa mkuu..... Hatutaki dikteta na mharibifu wa uchumi wetu km huyu mshamba na limbukeni wa ndege

Mkuu huyu mnae sema mshamba na limbukeni mbona ndie anaye tumaliza, Kwa hiyo ushamba ni faida.

Tulikuwa na mtoto wa mjini 2005-- 2015 chama kilipanda charti wabunge na kura za Urais ziliongezeka sana. Lazima tujiulize tunakosea wapi? Au kama kawa tujilazimishe kuto liona hilo?
 
Na kama hautakuwa wa huri na wa haki basi atashingmda kwa 58%
 

..hizo fedha hufika kwa mkurugenzi wa halmashauri.

..mbunge na madiwani hupanga matumizi ya fedha hizo.

..fedha hizo hazipiti hata siku moja ktk mikono ya mbunge.

..zaidi hizo fedha siyo nyingi, zinatosha kutatua shida ndogo-ndogo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…