Tundu Lissu kurudi bila dereva wake, maisha yake yako shakani

Deo meck kaja kishamba sana anazani watanzania ni wajinga kama yeye, chadema walijua mapema kuwa madalali wa siasa huko CCM wanamwinda Dereva wamrubuni apakaze uongo.
 
Nyie vibaraka wa jiwe mnafanya mauaji kila kona kulinda matumbo yenu mjue Mungu anatenda haki kwa watu wake yetu macho.
Madalali wa siasa huko CCM hawana pesa wameamua kubuni kila wawezalo wapate uteuzi
 
Inajulikana kuwa mwamba hapendi mtu yeyoyote anayeibuka pale cdm kuanza kuonekana ni maarufu kuliko yeye.
Lakini je!, huyo dereva angekufa kwenye hilo shambulio na upelelezi/uchunguzi ndo ungekuwa umeshashindikana?
Lakini kuna hizo vurugu anazofanyiwa tl na akina job ,hizo nazo zinafikirisha sana. Cctv camera inasemekana ziling'olewa.
 
Deo meck soma alama za nyakati Tambua kuwa watanzania siyo wajinga
 
 
Watengeneza propaganda wa CCM hawana kumbukumbu kabsa wameendelea kukariri kuwa watanzania ni wajinga kama wao binafsi
 
Hi akili uliyotumia kuwaza maswali haya hebu itumie Tena kuwaza hivi,

Kama serikali imegundua kuwa Mabeberu walitaka kuhujumu Nchi kupitia COVID19 KWANINI WAMESHINDWA KUFANYA UCHUNGUZI NA KUWABAINI HAO UBAOWASINGIZIA??
 
Ila kuwa CCM automatic unakuwa na Roho ya Kiibilisi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Mimi CCM damu damu, ila unafiki sina. Na niseme ukweli ktk hili CCM tunakera sana tena sana. Hata mbele ya mwenyekiti litasemwa wazi.

Ikiwa sie ni vidume kwa nini tulikimbilia kutoa CCTV? Ingeonesha jinsi gani alikwepa.
 
Hiki takataka peleka sebuleni kwa mwenyekiti wako anaetuhumiwa kuhusika na unyama huu.

Nini kinawazuia kuruhusu uchunguzi huru wa hili tukio?

Hata wagonjwa walioko Mirembe wanajua nani alihusika na tukio la Lissu kupigwa risasi.
KWANINI MNAOGOPA DREVA KUHOJIWA NYIE MNAJUA ALIYEFANYA UNYAMA HUU NI HUKOHUKO
 
Uzi umeuleta ki muhemuko sana
Namba ya simu ya Deo meck hii hapa 0715481628 alikuwa msaidizi wa mbowe akamuibia pesa ofisini kwake akamfukuza kazi ni kijana mdokozi muongo muongo mwenye chuki kubwa na mbowe kuliko hata viongozi wake wa CCM, mpigie simu mkataze aache propaganda za kishamba watanzania wameamka hawataki ujinga
 
Asante sana ngoja nimtafute
 
Sawa.

Na wewe ni nani, ni kati ya wale waliowaondoa walinzi siku ya tukio?

Hebu tueleze hilo kwa kuwa unao ufahamu mkubwa juu ya jambo hili.
Pengine Deo meck ndiye Dereva wa ile Nissan nyeupe iliyotumika kwenye shambulio kwani ni mtu mwenye roho mbaya sana haitakuwa ajabu kusikia alihusika moja kwa moja kwenye shambulio la Tundu lisu
 

Nina uhakika uzi huu utatolewa na mods mapema saaana. Yaani uzi unaongea mabaya waziwazi kuhusu CHADEMA?? lazima mods wauondoe mapema sana. Tena hata kufikia muda huu wamechelewa aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…