Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wagombea urais huko lumumba wamefikia wangapi leo hii?
Issue ya Lisu ishaanza kunifikirisha sana.
1. Ilikuwaje dereva wake hasipate risasi hata moja mwilini mwake??
2. Risasi zote karibu 36 zimlenge mguuni tu na sio kwenye moyo, Liver, kidney au kichwa??
3. Kwa nini dereva wake yupo nje ya nchi naye hana adui yeyote.??
4. Nani anahusika ?? Wa serikalini au wa upinzani?
5. Licha ya serikali kutolizungumzia kabisa ? Chadema wameshindwa kabisa kumjua muhusika?
6. Kwa nini serikali ipo kimya??
SIASA NI MCHEZO MCHAFU SANA.