Tundu Lissu kurudi bila dereva wake, maisha yake yako shakani

Pengine Deo meck ndiye Dereva wa ile Nissan nyeupe iliyotumika kwenye shambulio kwani ni mtu mwenye roho mbaya sana haitakuwa ajabu kusikia alihusika moja kwa moja kwenye shambulio la Tundu lisu
Hawa ni vibaka tu wanaotumiwa hapa JF kuweka takataka zao.

Hana lolote ajualo huyo. Hata uandishi wake tu unaonyesha alivyo mtupu kichwani.
 
Nina uhakika uzi huu utatolewa na mods mapema saaana. Yaani uzi unaongea mabaya waziwazi kuhusu CHADEMA?? lazima mods wauondoe mapema sana. Tena hata kufikia muda huu wamechelewa aiseee
Hakuna mabaya ya chadema hapa labda kwa mtu mbumbumbu juha ndiye ataona kuna mabaya ya chadema lazima wengi wanaelewa propaganda zote za CCM.
 
Rudia soma hiyo namba mbili halafu jisemee mwenyewe moyoni '' Mungu yupo"
 
Napenda mtu anaechangia kitu kinachoeleweka
 
Ulipopiga risasi ulimlenga dereva au Lisu?
 
Nani asiyejua njama ilipangwa na kutekelezwa na kina Nani? Lumumba mshatuona wabongo wajinga enh?

Nimeota ndoto mbaya Sana,
Natamani isiwe kweli, maana dah ndoto za kuota kisasi kisasi zinakera Sana,
 
Sijapokea hata simu moja, watumie na vocha kabisa.
 
Nina uhakika uzi huu utatolewa na mods mapema saaana. Yaani uzi unaongea mabaya waziwazi kuhusu CHADEMA?? lazima mods wauondoe mapema sana. Tena hata kufikia muda huu wamechelewa aiseee
😀😀😀😀
 
Upupu mtupu huo........
 
Kabla sijaendelea kusoma uzi wako nikuombe waambie waanze kumsaka aliyetoa CCTV Camera kwanza siku ya tukio. Zile Camera zitasaidia sana kutambua wahusika... Asante
 
Chadema ni wasanii san
Msigwa alikiri hadharani kuwa huwa wanatunga uongo kuichafua serikali
Haukupita muda sultani mbowe kalewa chakari,akajikwaa akategua enka,chadema wakaitangazia dunia sultani mbowe kashambuliwa na wasiojulikana
Mpaka leo,si Mbowe wala chadema waliotoka hadharani kuthibitisha uongo ule
Hili la dereva wa lissu litaiva pale lissu atakapo temwa rasmi na mzee wa Tengeru
 
Pengine Deo meck ndiye Dereva wa ile Nissan nyeupe iliyotumika kwenye shambulio kwani ni mtu mwenye roho mbaya sana haitakuwa ajabu kusikia alihusika moja kwa moja kwenye shambulio la Tundu lisu
Jomba mimi sina hata leseni ya udereva, ila amini nilichokuambia. Mchezo ndivyo ulivyo
 
Nasikia wagombea urais huko lumumba ndiyo wameanza kurudisha form, wamerudisha wangapi leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…