Issue ya Lisu ishaanza kunifikirisha sana.
1. Ilikuwaje dereva wake hasipate risasi hata moja mwilini mwake??
2. Risasi zote karibu 36 zimlenge mguuni tu na sio kwenye moyo, Liver, kidney au kichwa??
3. Kwa nini dereva wake yupo nje ya nchi naye hana adui yeyote.??
4. Nani anahusika ?? Wa serikalini au wa upinzani?
5. Licha ya serikali kutolizungumzia kabisa ? Chadema wameshindwa kabisa kumjua muhusika?
6. Kwa nini serikali ipo kimya??
SIASA NI MCHEZO MCHAFU SANA.
Pumbav.*TUNDU LISSU KURUDI BILA DEREVA WAKE*
- *Ni yule aliyekuwa naye wakati anashambuliwa Dodoma*
- *Chadema walimtorosha akiwa Dar baada ya kuhitajika na Afande Mroto kwa mahojiano*
- *Chadema walimtorosha kwa gari yao walioifunga bendera ya CCM hadi mpakani Namanga*
- *Haijulikani ni kwa nini Chadema wana hofu kubwa huyo dereva kutoa maelezo juu ya tukio lile*
- *Maisha yake yako shakani, anahitaji msaada*
Taarifa isiyo na shaka niliyoipokea toka makao makuu ya Chadema inaeleza mvutano uliopo kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe juu ya lini Lissu anarudi na zaidi juu ya yeye kurejea nchini akiwa na dereva wake.
Chadema wamekuwa na wasiwasi mwingi juu ya dereva huyo kuhojiwa na Polisi kuhusu tukio la kikatili la kushambuliwa kwa Tundu Lissu.
Dereva huyo alitoroshwa kwenda Kenya akitokea Dar es Salaam siku ambayo RPC wa Dodoma alipotangaza kumtaka dereva huyo afike kituo cha Polisi Dodoma kwa mahojiano akiwa kama shahidi wa kwanza aliyekuwepo eneo la tukio.
Chadema walitumia gari aina ya Toyota Landcruiser na kuifunga bendera ya CCM ili wasipate usumbufu njiani na kuwafanya askari wafikiri anayepita ni kiongozi. Gari hilo lilimpeleka dereva huyo hadi Namanga, akavuka mpaka na kwenda Nairobi.
Chadema inajulikana kwa kupanga njama ovu dhidi ya watu wanaoonekana tishio kwenye nafasi ya uenyekiti wa Freeman Mbowe. Kati yao wengine walifukuzwa uanachama na wengine walipoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha, kama ilivyokuwa kwa Marehemu Chacha Wangwe na Marehemu Philipo Magadula Shelembi.
Hivyo hofu ya viongozi wa Chadema kutotaka dereva huyo afanye mahojiano na Jeshi la Polisi inatia shaka uhusika wa viongozi wa Chadema katika tukio lililompata Tundu Lissu, na ndio maana pamoja na mengine juhudi kubwa zinafanyika ili asiwe mgombea wao wa Urais katika uchaguzi utakaofanyika October 2020.
Hadi sasa hawajafikia muafaka sababu ya hofu hiyo. Na bado wanaendelea na mazungumzo na ndio maana hadi sasa bado ratiba ya ujio wa Lissu bado haijawekwa hadharani.
Ushauri wangu kwa huyo dereva ni awe makini na usalama wake, kwani kuna watu ndani ya Chadema hawataki atoe ushahidi kuhusu tukio lililompata Tundu Lissu, hivyo kama hawataki ahojiwe kwa njia yoyote basi hata usalama wake uko shakani.
Anapaswa alitazame hilo katika jicho la kiintelijensia na ajue wabaya wake wasiotaka ahojiwe na jeshi la Polisi, na wanaweza chukua hatua yoyote kuhakikisha hafiki mikononi mwa Polisi. Nawashauri pia ndugu zake walitazame hili, pia na Jeshi la Polisi waangalie namna ya kumsaidia huyo kijana maana yuko katika mikono isiyo salama kwake. Ova.
Imeandikwa na:-
Deo Meck.
Mitaa ya Ufipa, Dar es Salaam.
*TUNDU LISSU KURUDI BILA DEREVA WAKE*

Duh, pretentious assumptions! Social media kwa kweli zinatumalizia muda wetu Sana I see!Huu ni uongo mkubwa unaotoka kwa middle class anayejiona maisha haya ni mazuri kwake,na hana taarifa au kujali yanayotokea kwa jirani yake,na kwa taarifa yako tukio lile la kushambuliwa kwa Mh.Lissu ni police case,maana wao ndio walitakiwa kuja na taarifa kuhusiana na uchunguzi wao kuhusiana na issue ile,sio suala la CDM,bunge na mtu yeyote kulitolea jawabu jaribio lile,and its so sad kuona sisi watanzania now to go so down hadi kuona maisha ya watanzania wenzetu as nothing,hii ni seed ya kuwa na taifa lenye hasira na visasi na muda utakuja kuongea.
Na yote uliyoyaorodhesha hapo umejionyesha ni jinsi gani una ubahiri wa ukweli na ninategemea familia yako hasa watoto wako huwafundishi kuwa na tabia ya uongo,na mbaya zaidi umekihusisha chama cha CCM na crime issue (ina maana kutumia bendera ya ccm ,unakuwa na free passage!!)na elewa kuwa huwezi kuingia au kutoka nchi bila ya passport,means passport ya dereva ilikuwa stamped na immigrations officer wetu na wa nchi ya pili.
Hadi leo police hawajatoa taarifa za kutuambia je weapons zilizotumika walizikamata,je nini walikusanya pale kwenye crime scene na je cctv walikuta nini;nchi hii ni ya watanzania wote sio wateule wachache na always muda utakuja kuhukumu.
8. Nani alitoa walinzi siku hiyo?Issue ya Lisu ishaanza kunifikirisha sana.
1. Ilikuwaje dereva wake hasipate risasi hata moja mwilini mwake??
2. Risasi zote karibu 36 zimlenge mguuni tu na sio kwenye moyo, Liver, kidney au kichwa??
3. Kwa nini dereva wake yupo nje ya nchi naye hana adui yeyote.??
4. Nani anahusika ?? Wa serikalini au wa upinzani?
5. Licha ya serikali kutolizungumzia kabisa ? Chadema wameshindwa kabisa kumjua muhusika?
6. Kwa nini serikali ipo kimya??
SIASA NI MCHEZO MCHAFU SANA.
Ni aibu sana mwenyekiti wa chama kugombea HAWARA na mteuliwa wake.*TUNDU LISSU KURUDI BILA DEREVA WAKE*
- *Ni yule aliyekuwa naye wakati anashambuliwa Dodoma*
- *Chadema walimtorosha akiwa Dar baada ya kuhitajika na Afande Mroto kwa mahojiano*
- *Chadema walimtorosha kwa gari yao walioifunga bendera ya CCM hadi mpakani Namanga*
- *Haijulikani ni kwa nini Chadema wana hofu kubwa huyo dereva kutoa maelezo juu ya tukio lile*
- *Maisha yake yako shakani, anahitaji msaada*
Taarifa isiyo na shaka niliyoipokea toka makao makuu ya Chadema inaeleza mvutano uliopo kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe juu ya lini Lissu anarudi na zaidi juu ya yeye kurejea nchini akiwa na dereva wake.
Chadema wamekuwa na wasiwasi mwingi juu ya dereva huyo kuhojiwa na Polisi kuhusu tukio la kikatili la kushambuliwa kwa Tundu Lissu.
Dereva huyo alitoroshwa kwenda Kenya akitokea Dar es Salaam siku ambayo RPC wa Dodoma alipotangaza kumtaka dereva huyo afike kituo cha Polisi Dodoma kwa mahojiano akiwa kama shahidi wa kwanza aliyekuwepo eneo la tukio.
Chadema walitumia gari aina ya Toyota Landcruiser na kuifunga bendera ya CCM ili wasipate usumbufu njiani na kuwafanya askari wafikiri anayepita ni kiongozi. Gari hilo lilimpeleka dereva huyo hadi Namanga, akavuka mpaka na kwenda Nairobi.
Chadema inajulikana kwa kupanga njama ovu dhidi ya watu wanaoonekana tishio kwenye nafasi ya uenyekiti wa Freeman Mbowe. Kati yao wengine walifukuzwa uanachama na wengine walipoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha, kama ilivyokuwa kwa Marehemu Chacha Wangwe na Marehemu Philipo Magadula Shelembi.
Hivyo hofu ya viongozi wa Chadema kutotaka dereva huyo afanye mahojiano na Jeshi la Polisi inatia shaka uhusika wa viongozi wa Chadema katika tukio lililompata Tundu Lissu, na ndio maana pamoja na mengine juhudi kubwa zinafanyika ili asiwe mgombea wao wa Urais katika uchaguzi utakaofanyika October 2020.
Hadi sasa hawajafikia muafaka sababu ya hofu hiyo. Na bado wanaendelea na mazungumzo na ndio maana hadi sasa bado ratiba ya ujio wa Lissu bado haijawekwa hadharani.
Ushauri wangu kwa huyo dereva ni awe makini na usalama wake, kwani kuna watu ndani ya Chadema hawataki atoe ushahidi kuhusu tukio lililompata Tundu Lissu, hivyo kama hawataki ahojiwe kwa njia yoyote basi hata usalama wake uko shakani.
Anapaswa alitazame hilo katika jicho la kiintelijensia na ajue wabaya wake wasiotaka ahojiwe na jeshi la Polisi, na wanaweza chukua hatua yoyote kuhakikisha hafiki mikononi mwa Polisi. Nawashauri pia ndugu zake walitazame hili, pia na Jeshi la Polisi waangalie namna ya kumsaidia huyo kijana maana yuko katika mikono isiyo salama kwake. Ova.
Imeandikwa na:-
Deo Meck.
Mitaa ya Ufipa, Dar es Salaam.
Rudisheni CCTV camera kwanza, hizo porojo tu*TUNDU LISSU KURUDI BILA DEREVA WAKE*

samahani mkuu, pamoja na maelezo yako marefu na yaweza kuwa mazuri!! nikuulize kitu cha kawaida tu... ambacho kimeulizwa sana humu "... hivi walioondoa walinzi na cctv eneo la tukio ni kina nani?" Je wale waliokuwa na Nissan nyeupe zinazosadikiwa kutumika katika uhalifu ni kina nani au nazo chadema waliziwekea nembo au bendera ya ccm kama unavyodai? Je unamaanisha ukiweka bendera ya ccm sehemu yoyote unaruhusiwa kufanya uhalifu? Je ni kwanini wachunguzi huru walikataliwa kuchunguza uhalifu ule..? Je dereva angekuwa kafa tukio lile lisingepelelezwa kugundua wahalifu...? Je eneo la tukio hakukuwa na shuhuda mwingine yeyote zaidi ya cctv na walinzi walioondolewa?*TUNDU LISSU KURUDI BILA DEREVA WAKE*
- *Ni yule aliyekuwa naye wakati anashambuliwa Dodoma*
- *Chadema walimtorosha akiwa Dar baada ya kuhitajika na Afande Mroto kwa mahojiano*
- *Chadema walimtorosha kwa gari yao walioifunga bendera ya CCM hadi mpakani Namanga*
- *Haijulikani ni kwa nini Chadema wana hofu kubwa huyo dereva kutoa maelezo juu ya tukio lile*
- *Maisha yake yako shakani, anahitaji msaada*
Taarifa isiyo na shaka niliyoipokea toka makao makuu ya Chadema inaeleza mvutano uliopo kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe juu ya lini Lissu anarudi na zaidi juu ya yeye kurejea nchini akiwa na dereva wake.
Chadema wamekuwa na wasiwasi mwingi juu ya dereva huyo kuhojiwa na Polisi kuhusu tukio la kikatili la kushambuliwa kwa Tundu Lissu.
Dereva huyo alitoroshwa kwenda Kenya akitokea Dar es Salaam siku ambayo RPC wa Dodoma alipotangaza kumtaka dereva huyo afike kituo cha Polisi Dodoma kwa mahojiano akiwa kama shahidi wa kwanza aliyekuwepo eneo la tukio.
Chadema walitumia gari aina ya Toyota Landcruiser na kuifunga bendera ya CCM ili wasipate usumbufu njiani na kuwafanya askari wafikiri anayepita ni kiongozi. Gari hilo lilimpeleka dereva huyo hadi Namanga, akavuka mpaka na kwenda Nairobi.
Chadema inajulikana kwa kupanga njama ovu dhidi ya watu wanaoonekana tishio kwenye nafasi ya uenyekiti wa Freeman Mbowe. Kati yao wengine walifukuzwa uanachama na wengine walipoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha, kama ilivyokuwa kwa Marehemu Chacha Wangwe na Marehemu Philipo Magadula Shelembi.
Hivyo hofu ya viongozi wa Chadema kutotaka dereva huyo afanye mahojiano na Jeshi la Polisi inatia shaka uhusika wa viongozi wa Chadema katika tukio lililompata Tundu Lissu, na ndio maana pamoja na mengine juhudi kubwa zinafanyika ili asiwe mgombea wao wa Urais katika uchaguzi utakaofanyika October 2020.
Hadi sasa hawajafikia muafaka sababu ya hofu hiyo. Na bado wanaendelea na mazungumzo na ndio maana hadi sasa bado ratiba ya ujio wa Lissu bado haijawekwa hadharani.
Ushauri wangu kwa huyo dereva ni awe makini na usalama wake, kwani kuna watu ndani ya Chadema hawataki atoe ushahidi kuhusu tukio lililompata Tundu Lissu, hivyo kama hawataki ahojiwe kwa njia yoyote basi hata usalama wake uko shakani.
Anapaswa alitazame hilo katika jicho la kiintelijensia na ajue wabaya wake wasiotaka ahojiwe na jeshi la Polisi, na wanaweza chukua hatua yoyote kuhakikisha hafiki mikononi mwa Polisi. Nawashauri pia ndugu zake walitazame hili, pia na Jeshi la Polisi waangalie namna ya kumsaidia huyo kijana maana yuko katika mikono isiyo salama kwake. Ova.
Imeandikwa na:-
Deo Meck.
Mitaa ya Ufipa, Dar es Salaam.
Chadema wanataka uchunguzi huru WA vyombo vya nje lakini ni kwanini serikali na ccm inakataa.Issue ya Lisu ishaanza kunifikirisha sana.
1. Ilikuwaje dereva wake hasipate risasi hata moja mwilini mwake??
2. Risasi zote karibu 36 zimlenge mguuni tu na sio kwenye moyo, Liver, kidney au kichwa??
3. Kwa nini dereva wake yupo nje ya nchi naye hana adui yeyote.??
4. Nani anahusika ?? Wa serikalini au wa upinzani?
5. Licha ya serikali kutolizungumzia kabisa ? Chadema wameshindwa kabisa kumjua muhusika?
6. Kwa nini serikali ipo kimya??
SIASA NI MCHEZO MCHAFU SANA.
Hili swala la lissu limejaa utata ndio maana Chadema wamekaa kimya labda kuna kitu
Na kwanini wamtoroshe ili hali wanajua kuwa atahitajika kama shahidi?
Vyombo vyetu vina uwezo wa kufanya uchunguziChadema wanataka uchunguzi huru WA vyombo vya nje lakini ni kwanini serikali na ccm inakataa.
Kwanini serikali ilipiga marufuku maombi?
Anakula rahaYuko Belgium mazee
Maswali ni mawili tu,Huu ni uongo mkubwa unaotoka kwa middle class anayejiona maisha haya ni mazuri kwake,na hana taarifa au kujali yanayotokea kwa jirani yake,na kwa taarifa yako tukio lile la kushambuliwa kwa Mh.Lissu ni police case,maana wao ndio walitakiwa kuja na taarifa kuhusiana na uchunguzi wao kuhusiana na issue ile,sio suala la CDM,bunge na mtu yeyote kulitolea jawabu jaribio lile,and its so sad kuona sisi watanzania now to go so down hadi kuona maisha ya watanzania wenzetu as nothing,hii ni seed ya kuwa na taifa lenye hasira na visasi na muda utakuja kuongea.
Na yote uliyoyaorodhesha hapo umejionyesha ni jinsi gani una ubahiri wa ukweli na ninategemea familia yako hasa watoto wako huwafundishi kuwa na tabia ya uongo,na mbaya zaidi umekihusisha chama cha CCM na crime issue (ina maana kutumia bendera ya ccm ,unakuwa na free passage!!)na elewa kuwa huwezi kuingia au kutoka nchi bila ya passport,means passport ya dereva ilikuwa stamped na immigrations officer wetu na wa nchi ya pili.
Hadi leo police hawajatoa taarifa za kutuambia je weapons zilizotumika walizikamata,je nini walikusanya pale kwenye crime scene na je cctv walikuta nini;nchi hii ni ya watanzania wote sio wateule wachache na always muda utakuja kuhukumu.
Tumwombe Mungu upigwe moja tu tuone kama utapona au LahIssue ya Lisu ishaanza kunifikirisha sana.
1. Ilikuwaje dereva wake hasipate risasi hata moja mwilini mwake??
2. Risasi zote karibu 36 zimlenge mguuni tu na sio kwenye moyo, Liver, kidney au kichwa??
3. Kwa nini dereva wake yupo nje ya nchi naye hana adui yeyote.??
4. Nani anahusika ?? Wa serikalini au wa upinzani?
5. Licha ya serikali kutolizungumzia kabisa ? Chadema wameshindwa kabisa kumjua muhusika?
6. Kwa nini serikali ipo kimya??
SIASA NI MCHEZO MCHAFU SANA.
Hiki takataka peleka sebuleni kwa mwenyekiti wako anaetuhumiwa kuhusika na unyama huu.
Nini kinawazuia kuruhusu uchunguzi huru wa hili tukio?
Hata wagonjwa walioko Mirembe wanajua nani alihusika na tukio la Lissu kupigwa risasi.
Hapo hakuna maswali bali ni uvumi ambao tukiambiwa kuwa tunaishi in a shithole country tunalalamika,dereva huyu anajificha kwa nani?kwani dereva ndio missing part ili kukamilisha uchunguzi wao?je polisi walishatueleza kuwa wamefikia uchunguzi hapa na ukamilikaji wake ni lazima dereva apatikane?polisi wameshindwa hata kutambua silaha zilizotumika kwenye crime scene ile!,kupona au kutopona kwa dereva ni mambo yake na doctor wake,dont put your noise usipotakiwa.Maswali ni mawili tu,
Kwa nini deleva mpaka sasa anajificha kwani yeye ni mtuhumiwa?
Walisema anatibiwa kisaikolojia je mpaka sasa hajapona?
Tunaomba majibu ya hayo maswali.