Tundu Lissu kurudi bila dereva wake, maisha yake yako shakani


Kwa hiyo unataka wakutangazie?
Kama anasubiliwa yeye ili wa prove uchunguzi waliofanya je?
Katika hali ya kawaida hiyo deleva anogopa nini kurudi,
Kwa nini asije ahojiwe kisha arudi huko ubelgiji kama amepapenda ?
 

ndio michezo yao
 

YAMETIMIA, NI KWELI NIMEJARIBU KUCHUNGUZA NA KUGUNDUA NI KWELI, TUNDU HAKUJA NA DEREVA WAKE, NI KWANINI HATAKI JAMAA AHOJIWE NA POLISI?

WANAFICHA NINI NA KWA FAIDA YA NANI?
 

yametimia. kwa nini Lissu hataki dereva wake ahojiwe na Polisi?
 
Sio bure kuna kitu hapa haiwezekani maguvu yote haya yatumike kumficha mtu mmoja


Wanahofia atakuja kusema nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…