Tundu Lissu kutoa mada siku ya Katiba (Katiba Day)

Mjinga wala hujui. Nani alitaka kupindua nchi kama sio uzushi ili kuwaengua wenye msimamo thabiti kama kina bashiru ali na polepole.
Kwani hawajaenguliwa hadi sasa?? Wameishia ubunge wa viti maalum ambao hawana mamlaka hata jimbo moja
 
Rais nje ya Ikulu
Kipimo cha jinsi tulivyoishiwa na kufilisika kiakili, Kisomi, na katika maendeleo ya kifalsafa, Mtu akionekana tu ana uelewa mkubwa na ana mchango mkubwa katika kuelimisha umma, basi awe Rais.
Kitabu alichozindua Lissu huko Nairobi hivi karibuni, ambacho kimejengwa juu ya utafiti wa kina, ujenzi mahiri wa hoja, na akili pevu, kilitakiwa kiwe sehemu ya matunda ya vyuo vikuu vyetu. Lakini wapi utapata tena mwanazuoni anayehoji namna hii? Tumezoea maisha ya kinafiki, kupeana sifa za kijinga, hadi unamkuta Profesa anadiriki kumwambia Rais kwamba "umeniokota jalalani"
 
Eee bhana eeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…