Tundu Lissu kutoa mada siku ya Katiba (Katiba Day)

Tundu Lissu kutoa mada siku ya Katiba (Katiba Day)

Hii ni MADA ya wanasiasa wanaotafuta unafuu wa kupenya kuingia IKULU.

Wananchi MADA yetu ni MAENDELEO STAHIMILIVU pamoja na huduma bora za kijamii.
Mbona wazungumzia wingi, zungumzia wew na familia yako, ukisema wananchi una maana hata na mimi wakati mimi siyo chizi
 
Msiyempenda kaja sasa, atajaaa tele, na sindano zake zitawakingia kisawasawa sana pro chato,,

Mitano tena kwa mama!!
hawa washenzi walishindwa tar 27 July alipokuja wakati huo Viampire Jiwe akioganize vikundi vyake vimdaka Airport. Leo Kafa wataweza kweli?
 
Vipi huyo jamaa yako bado anachechemea?
Analipwa na stahiki zake za ubunge
E4o-hmYWEAQf5AM.jpg
 
Back
Top Bottom