Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui sheria ya ushahidiAcha kujibaraguza, najua vizuri sana nini maana ya real evidence na hearsay evidence. Wewe ulikuwepo Zanzibar wakati hayo matokeo yanajumuishwa na kusainiwa tokea 1995-2015? Lissu alikuwepo na aliona kwa macho yake?
Katiba ya jamhuri ya muungano wa TanzaniaSheria zipi? Za kuwadanganya wazanzibari kuwa kuna jeshi la Tanganyika linawakandamiza? Au zipi?
Dr mpoki alimtibu kamuulizeWewe ulikuwepo? Je gari lake lilikuwa special si kama Magari mengine? Anamficha dereva ili asiseme ukweli kuwa hiyo ni hadithi ya kutunga ila alipigwa risasi nje ya gari hilo. Si ajabu ile hadithi ya kuwa alifukaniwa ikawa ni ya kweli. Turejee katika kampeni, wewe unaona akili zake zipo Sawa hasa baada ya hotuba ya kitoto ya huko Zanzibar? Unapinga muungano wakati unagombea kuwa rais wa muungano! Hajitambui huyu ingawa kuna wengi wanaomlamba Masaburi
Nimekuuliza ulikuwepo na uliona hayo matokeo wakati yanasainiwa? Acha kudeal na hearsays. Lissu alikuwepo na aliona na anayokopi original? Kama unajua sheria ungelifahamu maana ya real evidence. Acha kukariri ouster clause na uongo.Hujui sheria ya ushahidi
Sheria ya ushahidi inatumika kuprove au ku disprove na kukubalika kwa ushahidi sasa basi huo ushahidi unaoutaka haukubaliki kwenye mahakama yoyote kwa sababu ya ouster claus
Jibu maswali kama mtu mwenye akili timamu. Unataja hayo madudu ndio nimekuuliza.Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Election expenses Act
The national election act
Maadili ya Uchaguzi
Inashangaza kwamba kuna watanzania bado wanaishabikia ccm, mara nyingi ni kwa ajili ya matumbo yao tu.
Mkuu M- babe alikwambia kwamba Rais ndiye kinara wa uvunjifu wa sheria, Mimi nikataja mifano ya sheria zilizovunjwa kuwa ni katiba,nkJibu maswali kama mtu mwenye akili timamu. Unataja hayo madudu ndio nimekuuliza.
Hapa Tanzania kuna jeshi la Tanganyika? Kama sio upotoshaji na uchochezi?
Kufanyiwa hujuma kubwa kama hiyo ni kosa kubwa sana. Kama wakili na mwanasheria nguli. Nilitarajia awe amechukua hatua madhubuti. Sio kukaa kwenye majukwaa na kuipaka matope serikali. Hizi ni siasa za kishamba. Mbona Hashimu Rungwe anazunguka Range rover vogue hana uongo uongo kama huu!Hata ukiogopa kifo hutakufa?
Ww unayo kopi orijino?Nimekuuliza ulikuwepo na uliona hayo matokeo wakati yanasainiwa? Acha kudeal na hearsays. Lissu alikuwepo na aliona na anayokopi original? Kama unajua sheria ungelifahamu maana ya real evidence. Acha kukariri ouster clause na uongo.
Sasa kama ndio hivyo kuwa ni suala ambalo halihojiwi na kuchunguzwa na chombo chochote, Lissu alipata mamlaka gani ya kuchunguza? Ana mamlaka gani ya kusema upinzani ulishinda Tangia 1995?Ww unayo kopi orijino?
Najua evidence act vizuri kuliko we
Ouster clause sijaikariri nimeielewa na ndiyo hoja inayofutilia mbali huo ushahidi unaoutaka wa kutaka kupewa ushahidi wa kitu ambapo hakihojiwi mahakamani au hakichunguzwi na chombo chochote.
Mimi nimeenda juzi pale viwanja vya CCM kusikiliza sera zake lakini badala ya kutoa sera anatoa malalamiko tu.Mtu unatumia ndege ya kunyunyiza viwatilifu mashambani halafu ikuangushe ufe isingiziwe serikali imechomoa nati[emoji3][emoji3]. Kila nikimsikiliza Lissu jukwaani ni kama lengo la kuchukua form ya kugombea ilikuwa ni apate tu jukwaa huru la kuitukana serikali, Jiwe na kusimulia hadithi za risasi
Katiba yenyewe ni batili, haikufuata utaratibu wa kisheria ie tanganyika haijafutika.Zanzibar je hiyo Tanganyika unayoisema ni ipi? Maana ibara ya pili ya katiba ya JMT ilifuta kitu kinachoitwa Tanganyika.