Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kutoka kuwa mtafuta kura za huruma mpaka kuwa mchochezi ambaye anaachwa avunje Sheria

Mpaka sasa tathimini huru zimethibitisha kuwa kinara wa uvunjaji sheria ni mgombea urais wa CCM!
 
mpaka sasa tathimini huru zimethibitisha kuwa kinara wa uvunjaji sheria ni mgombea urais wa CCM!
Sheria zipi? Za kuwadanganya wazanzibari kuwa kuna jeshi la Tanganyika linawakandamiza? Au zipi?
 
Acha kujibaraguza, najua vizuri sana nini maana ya real evidence na hearsay evidence. Wewe ulikuwepo Zanzibar wakati hayo matokeo yanajumuishwa na kusainiwa tokea 1995-2015? Lissu alikuwepo na aliona kwa macho yake?
Hujui sheria ya ushahidi
Sheria ya ushahidi inatumika kuprove au ku disprove na kukubalika kwa ushahidi sasa basi huo ushahidi unaoutaka haukubaliki kwenye mahakama yoyote kwa sababu ya ouster claus
 
Sheria zipi? Za kuwadanganya wazanzibari kuwa kuna jeshi la Tanganyika linawakandamiza? Au zipi?
Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Election expenses Act
The national election act
Maadili ya Uchaguzi
 
Dr mpoki alimtibu kamuulize
Kuhusu dereva soma sheria ya mutual assistance in criminal matters act.
 
Unalaana nyingi sana kwanini usiache kumsikiliza maana hawezi ku change kisa wewe
 
Hujui sheria ya ushahidi
Sheria ya ushahidi inatumika kuprove au ku disprove na kukubalika kwa ushahidi sasa basi huo ushahidi unaoutaka haukubaliki kwenye mahakama yoyote kwa sababu ya ouster claus
Nimekuuliza ulikuwepo na uliona hayo matokeo wakati yanasainiwa? Acha kudeal na hearsays. Lissu alikuwepo na aliona na anayokopi original? Kama unajua sheria ungelifahamu maana ya real evidence. Acha kukariri ouster clause na uongo.
 
Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Election expenses Act
The national election act
Maadili ya Uchaguzi
Jibu maswali kama mtu mwenye akili timamu. Unataja hayo madudu ndio nimekuuliza.
Hapa Tanzania kuna jeshi la Tanganyika? Kama sio upotoshaji na uchochezi?
 
Jibu maswali kama mtu mwenye akili timamu. Unataja hayo madudu ndio nimekuuliza.
Hapa Tanzania kuna jeshi la Tanganyika? Kama sio upotoshaji na uchochezi?
Mkuu M- babe alikwambia kwamba Rais ndiye kinara wa uvunjifu wa sheria, Mimi nikataja mifano ya sheria zilizovunjwa kuwa ni katiba,nk
 
Hata ukiogopa kifo hutakufa?
Kufanyiwa hujuma kubwa kama hiyo ni kosa kubwa sana. Kama wakili na mwanasheria nguli. Nilitarajia awe amechukua hatua madhubuti. Sio kukaa kwenye majukwaa na kuipaka matope serikali. Hizi ni siasa za kishamba. Mbona Hashimu Rungwe anazunguka Range rover vogue hana uongo uongo kama huu!
 
Mkuu M- babe alikwambia kwamba Rais ndiye kinara wa uvunjifu wa sheria, Mimi nikataja mifano ya sheria zilizovunjwa kuwa ni katiba,nk
Ok nijibu sasa hapa Tanzania kuna jeshi la Tanganyika? Ambalo linawakalia kimabavu wazanzibari?
 
Nimekuuliza ulikuwepo na uliona hayo matokeo wakati yanasainiwa? Acha kudeal na hearsays. Lissu alikuwepo na aliona na anayokopi original? Kama unajua sheria ungelifahamu maana ya real evidence. Acha kukariri ouster clause na uongo.
Ww unayo kopi orijino?
Najua evidence act vizuri kuliko we
Ouster clause sijaikariri nimeielewa na ndiyo hoja inayofutilia mbali huo ushahidi unaoutaka wa kutaka kupewa ushahidi wa kitu ambapo hakihojiwi mahakamani au hakichunguzwi na chombo chochote.
 
Sasa kama ndio hivyo kuwa ni suala ambalo halihojiwi na kuchunguzwa na chombo chochote, Lissu alipata mamlaka gani ya kuchunguza? Ana mamlaka gani ya kusema upinzani ulishinda Tangia 1995?
 
Mtu unatumia ndege ya kunyunyiza viwatilifu mashambani halafu ikuangushe ufe isingiziwe serikali imechomoa nati😀😀. Kila nikimsikiliza Lissu jukwaani ni kama lengo la kuchukua form ya kugombea ilikuwa ni apate tu jukwaa huru la kuitukana serikali, Jiwe na kusimulia hadithi za risasi
 
Mimi nimeenda juzi pale viwanja vya CCM kusikiliza sera zake lakini badala ya kutoa sera anatoa malalamiko tu.
 
Tunamshukuru sisi tuliosomea ualimu wa shule ya msingi tumetangaziwa ajira,ana faida zake,huyo ndiyo mpinzani
 
Zanzibar je hiyo Tanganyika unayoisema ni ipi? Maana ibara ya pili ya katiba ya JMT ilifuta kitu kinachoitwa Tanganyika.
Katiba yenyewe ni batili, haikufuata utaratibu wa kisheria ie tanganyika haijafutika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…