Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kutoka kuwa mtafuta kura za huruma mpaka kuwa mchochezi ambaye anaachwa avunje Sheria

Huyu Tundu Lissu alipokuja hapa Tanzania na CHADEMA kumpa ridhaa ya kugombea ubunge kama njia ya kumpoza baada ya wao Chadema kupanda njama za kumshambulia ili waichafue Tanzania, amekuwa kama mtu ambae hajui nini anakifanya majukwaani. Maana amekuwa mtu ambaye anaropoka maneno ya uchochezi ambayo nia yake ni kuleta fitina ili kuleta machafuko kwa nchi yetu...
Naona kaona anashindwa uchaguzi hivyo , anachofanya sasa, ni I have got nothing to loose, ni kumwacha tu ajinyonge na kamba yake mwenyewe, kwani nia yake ni kutuingiza ktk migogoro ya wenyewe kwa wenyewe, lakini kwa upande mwingine amesaidia watu kumjua Rangi zake halisi, hivyo tarehe 28/10/2020 kikatio kitafanya kazi yake vizuri.

Aanze kulalamika kivingine na kututaka kuingia ktk mtafaruku mwingine, maana ndio hulka yake
 
Mgombea anayesema Wapinzani wanatumwa na Mabeberu kuihudumu nchi amewahi thibitisha hili?
Kama bado basi tulia maana mchezo hauhitaji hasira huu.
 
Kufanyiwa hujuma kubwa kama hiyo ni kosa kubwa sana. Kama wakili na mwanasheria nguli. Nilitarajia awe amechukua hatua madhubuti. Sio kukaa kwenye majukwaa na kuipaka matope serikali. Hizi ni siasa za kishamba. Mbona Hashimu Rungwe anazunguka Range rover vogue hana uongo uongo kama huu!

Mifumo yote ya kutoa haki na kiuchunguzi imetekwa na ibilisi, sasa ni hatua gani utachukua wakati mifumo tayari iko mikononi mwa ibilisi? Rungwe ni kama nyoka wa kibisa, hana madhara kwa ibilisi na chama chake.
 
Ahaaa, dogo unanichekesha sana. Kama ndio hivyo mbona alikwenda kwa afande Muroto kuomba gari lake? Hakuna ibilisi hapa hii nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria. Ukifanyiwa huduma ya kutaka kuuliwa unatakiwa uripoti polisi.
 
Mleta mada ungekuwa na akili timamu ungefanya uchambuzi wa maneno ya Lissu.

lakini akili ndogo za 'DODOKI' ndio maana unasema ni uchochezi!

Sidhani pia kama unaweza kuchambua maana ya neno 'UCHOCHEZI' (tafuta japo kamusi usome)
Sometimes ni bora kukaa kimya kuficha upumbavu kuliko kuuweka hadharani kama ulivyofanya.
 
Magufuli anafanya vituko mnajifanya hamvioni,hata Uongee mpaka unye mavi ya kijani,kura za lissu ziko palepale
 
Ahaaa, dogo unanichekesha sana. Kama ndio hivyo mbona alikwenda kwa afande Muroto kuomba gari lake? Hakuna ibilisi hapa hii nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria. Ukifanyiwa huduma ya kutaka kuuliwa unatakiwa uripoti polisi.

Alikwenda kwa afande Muroto au alikwenda kituo cha polisi kwakuwa hilo gari liko huko? Huduma ya kutaka kuuliwa! Kutaka kuuliwa ni huduma? Kutaka kuuliwa ni uhalifu. Ni kweli unatakiwa uripoti polisi, ila polisi wamefunikwa na nguvu ya ibilisi mpaka wameacha kutekeleza wajibu wao bali kumtumikia ibilisi.
 
tindo Lissu ni mwanasheria mzuri sana. Hizi ishu zote kama zina ushahidi hakuna ibilisi atayeshinda. Nahisi anaropoka tu ili kupata kick za kisiasa. Hazina ushahidi kwa ufupi.
 
Huyu Tundu Lissu alipokuja hapa Tanzania na CHADEMA kumpa ridhaa ya kugombea ubunge kama njia ya kumpoza baada ya wao Chadema kupanda njama za kumshambulia ili waichafue Tanzania, amekuwa kama mtu ambae hajui nini anakifanya majukwaani. Maana amekuwa mtu ambaye anaropoka maneno ya uchochezi ambayo nia yake ni kuleta fitina ili kuleta machafuko kwa nchi yetu.

Mgombea Urais ambae unatafuta kuwa rais wa JMT huwezi kuongea hoja ambazo hata mtu ambae hana akili timamu hawezi kuziamini. Mfano mgombea urais unasimama jukwaani na kusema eti Serikali inatengeneza njama za kuweka itilafu kwenye ndege unayosafiria ili upate ajali. Sasa kama una hakika na hili kwa nini usichukue hatua stahiki. Maana ndege unayosafiria ni ya kukodi. Sasa hao wamiliki wa hiyo ndege kwa nini usiwashitaki kwa kushiriki kupanga njama kubwa kama hizo? Maana hilo sio jambo dogo.

Unaenda Zanzibar bila aibu na bila kutumia busara unatamka kuwa, upinzani umekuwa unashinda uchaguzi wa Zanzibar tokea mwaka 1995. Je, unao ushahidi juu ya hili? Unaenda Zanzibar unadai kuwa eti Tanganyika inapeleka ubabe wake wa kijeshi Zanzibar je hiyo Tanganyika unayoisema ni ipi? Maana ibara ya pili ya katiba ya JMT ilifuta kitu kinachoitwa Tanganyika.

Sina mengi ya kusema ila wewe mgombea wa urais wa Chadema hakuna unachotafuta. Hii ni kwa sababu wewe unajitambua hufai kuwa rais wa JMT bali unaeneza siasa za chuki ili kuleta mifarakano na chuki ambayo matokeo yake ni vurugu.
Kuhusu sumu kali ya Lissu kwa wananchi nakubaliana na wewe. Kwamba huyu ndugu ukimsikiliza waweza kumzaba kibao Jiwe. Lakini kuhusu kuchukizwa kwako na uvunjwaji wa hseria nakuona una ubaguzi kabisa. Kama wewe ni mkereketwa wa kufuata sheria ungemkemea Jiwe ambaye kipindi chote cha utawala wake amekuwa mvunjaji mkubwa wa sheria za nchi na hafuati utawala wa sheria.
 
Ukweli unapogeuka kiwa uchochezi...mi danganyika bana!!
 
tindo Lissu ni mwanasheria mzuri sana. Hizi ishu zote kama zina ushahidi hakuna ibilisi atayeshinda. Nahisi anaropoka tu ili kupata kick za kisiasa. Hazina ushahidi kwa ufupi.

Shambulio la Lisu halihitaji uwe mwanasheria kujua nini kiliendelea na nani aliagiza hilo shambulio. Kunahitajika vyombo vya ulinzi vinavyotekeleza wajibu wake bila kuingiliwa na ibilisi fullstop.
 
CCM siwaelewi wana mpango gani na majimbo ya Mbeya mjini na Iringa mjini. Kwa nini wameamua kuwateua hawa mashuga mami? Hivi ni kweli CCM haina mbadala wa shangingi Jesca? Niliwahi kwenda Iringa Mjini pale nikakutana naye kavaa kisuruali kimebana utafikiri changudoa. Na haka kajitu ka kuletwa Mbeya mjini nako, mweee. Kaniwekwa bungeni kutoka kusikojulikana kakawekwa kwenye kiti cha naibu spika, na sasa kamepelekwa kutoka kusikojulikana kakawekwa Mbeya mjini. Katamweza Rais wa Mbeya, a.k.a Sugu.
 
Huyu Tundu Lissu alipokuja hapa Tanzania na CHADEMA kumpa ridhaa ya kugombea ubunge kama njia ya kumpoza baada ya wao Chadema kupanda njama za kumshambulia ili waichafue Tanzania, amekuwa kama mtu ambae hajui nini anakifanya majukwaani. Maana amekuwa mtu ambaye anaropoka maneno ya uchochezi ambayo nia yake ni kuleta fitina ili kuleta machafuko kwa nchi yetu.

Mgombea Urais ambae unatafuta kuwa rais wa JMT huwezi kuongea hoja ambazo hata mtu ambae hana akili timamu hawezi kuziamini. Mfano mgombea urais unasimama jukwaani na kusema eti Serikali inatengeneza njama za kuweka itilafu kwenye ndege unayosafiria ili upate ajali. Sasa kama una hakika na hili kwa nini usichukue hatua stahiki. Maana ndege unayosafiria ni ya kukodi. Sasa hao wamiliki wa hiyo ndege kwa nini usiwashitaki kwa kushiriki kupanga njama kubwa kama hizo? Maana hilo sio jambo dogo.

Unaenda Zanzibar bila aibu na bila kutumia busara unatamka kuwa, upinzani umekuwa unashinda uchaguzi wa Zanzibar tokea mwaka 1995. Je, unao ushahidi juu ya hili? Unaenda Zanzibar unadai kuwa eti Tanganyika inapeleka ubabe wake wa kijeshi Zanzibar je hiyo Tanganyika unayoisema ni ipi? Maana ibara ya pili ya katiba ya JMT ilifuta kitu kinachoitwa Tanganyika.

Sina mengi ya kusema ila wewe mgombea wa urais wa Chadema hakuna unachotafuta. Hii ni kwa sababu wewe unajitambua hufai kuwa rais wa JMT bali unaeneza siasa za chuki ili kuleta mifarakano na chuki ambayo matokeo yake ni vurugu.
umeandika kama vile bwana wako katoka kushuka kifuani kwako mda si mrefu
 
Back
Top Bottom