Tetesi: Tundu Lissu kutua nchini Dec 9, 2019

Status
Not open for further replies.
Tundu lissu ni shujaa kwa jambo gani. Kujeruhiwa kwa risasi haukumpa ushujaa wala sifa za kuwa Rais. Tanzania isifanywe nchi ya majaribio.
 
abaki hukohuko asije kutuharibia nchi yetu mropokaji huyo hana lolote maandalizi ya mapokezi amekuwa rais huyo
Anaeharibu nchi twamjua hata mtt wa darasa la 4 ukimuuliza atakujibu!
 
Hii ndiyo maana halisi ya KUROPOKA, yaani kupayuka bila kufikiri.
 
Huo ni uzwazwa, tupo tuliochoshwa na usanii wa awamu ya 5,tupo na Lissu na hatuna shaka na uzalendo wake
 
Acha ujinga wewe, kadanganye Lumumba sio humu kwa ma GT
nyie akili yenu bado inahamu ya kutawaliwa yaani kila kitu watu wa nje huyo lisssu wanamtega tu usifikiri wanampenda wakija hao tayari tunaanza kuwa watumwa tena
 
Eti nini?!.. usalama utaangaliwa na vyombo vya kimataifa, serously? Ila haka kajamaa mnakakuza mno. Tena bila sababu ya msingi.
 
Aisee mazwazwa wa Lumumba mnaboa
 
haya ccm si chambo cha mabeberu wamefanya nini zaidi ya miaka 55 wametawala na nchi imesheheni utajiri hatuoni lolote la maana zaidi ya njaa
 
Wa majaribio kafeli haswa, kasome "His Excellency Head Of State "
Tundu lissu ni shujaa kwa jambo gani. Kujeruhiwa kwa risasi haukumpa ushujaa wala sifa za kuwa Rais. Tanzania isifanywe nchi ya majaribio.
 
Kama hutaki kumsikia tundu lissu ziba masikio mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…