Tetesi: Tundu Lissu kutua nchini Dec 9, 2019

Tetesi: Tundu Lissu kutua nchini Dec 9, 2019

Status
Not open for further replies.
polisi haichagui wa kumlinda inalinda raia wote sasa yeye ni nani ana uspecial gani?
Ujui kuwa ni raia wa Tanzania na ujui kazi ya jeshi la polisi ni kulinda raia na mali zao. Acha kukurupuka
 
Huyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA
Bora Lissu kuliko hawa wanaotuteka na kutuua, Lissu Kwa kushirikiana na Mataifa ya nje watatutoa katika jehanamu hii
 
Bora Lissu kuliko hawa wanaotuteka na kutuua, Lissu Kwa kushirikiana na Mataifa ya nje watatutoa katika jehanamu hii
nyie akili yenu bado inahamu ya kutawaliwa yaani kila kitu watu wa nje huyo lisssu wanamtega tu usifikiri wanampenda wakija hao tayari tunaanza kuwa watumwa tena
 
Na huo ndio ukweli uhai wake muhimu mno tunamuhitaji kuliko yeye anavyo tuhitaji sisi.
mlimuhitaji kuliko yaaani du mmelogwa na aliyewaloga keshakufa hamna pa kuponea
 
mlimuhitaji kuliko yaaani du mmelogwa na aliyewaloga keshakufa hamna pa kuponea
Mkuu nani kwakwambia kwa upendo tuliokuwa nao kwa Mh. Lissu tunaitaji dawa kama Kuna mwengine azidi kutuloga ili tumpende zaidi
 
Huyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA
Which is Good
Tutaomba Msaada popote hata Kwa Shetani kulitoa Dude SSM Madarakani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom