Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutua Singida Magharibi leo Oktoba 25

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutua Singida Magharibi leo Oktoba 25

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,991
Mh. Tundu Lissu leo atakuwa na Mikutano mitatu Jimbo la Singida Magharibi ambayo ni;
1: Sepuka,
2: Iglanson na
3: Ihanja.

Wakati wa Mabadiliko ni sasa.

Yani yule mwingine leo anafanya mkutano mmoja Babati na akitoka hapo imeisha hivyo.

Sasa baada ya Lissu kumaliza Singida, kampeni inayofuata ataenda Kilimanjaro majimbo ya Vunjo na Moshi vijijini.

Akitoka hapo ni Babati mjini.
 
Back
Top Bottom