Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyosambazwa na Chama chake , Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atahutubia Mkutano wa Hadhara Wilayani Temeke, DSM.
Nimeona magari ya Matangazo yakipita mitaani na kwamba mkutano huo utafanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga, Tandika
Kwa vile kwa sasa niko DSM na Mwembeyanga ndio nyumbani kwangu basi utapata moja kwa moja Spana zikiwa bado za moto
Usiondoke JF