Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karibu sanaHabari za vyama vya siasa hua sitaki hata kusikia, lakini huyu mwamba namkubali yuko vizuri
bila shaka yoyote,Kwa Mujibu wa Taarifa iliyosambazwa na Chama chake , Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atahutubia Mkutano wa Hadhara Wilayani Temeke, DSM.
Nimeona magari ya Matangazo yakipita mitaani na kwamba mkutano huo utafanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga, Tandika
View attachment 2998314
Kwa vile kwa sasa niko DSM na Mwembeyanga ndio nyumbani kwangu basi utapata moja kwa moja Spana zikiwa bado za moto
Usiondoke JF
mbona Title tarehe 25/5/2024. kwenye Poster tarehe 26/5/2024. Ipi sahihi?Kwa Mujibu wa Taarifa iliyosambazwa na Chama chake , Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atahutubia Mkutano wa Hadhara Wilayani Temeke, DSM.
Nimeona magari ya Matangazo yakipita mitaani na kwamba mkutano huo utafanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga, Tandika
View attachment 2998314
Kwa vile kwa sasa niko DSM na Mwembeyanga ndio nyumbani kwangu basi utapata moja kwa moja Spana zikiwa bado za moto
Usiondoke JF
Mimi ningeomba tu, pamoja na ajenda nyingine muhimu, "Funzo la umuhimu wa kura za wananchi" liwe endelevu kila mahali.CCM tayari wamekwishaweka wazi kwamba ushindi wao ni kutegemea njia zilezile za miaka yote; yaani kuharibu kura za wananchi na kupachika washindi wasiochaguliwa na wananchi.Kwa vile kwa sasa niko DSM na Mwembeyanga ndio nyumbani kwangu basi utapata moja kwa moja Spana zikiwa bado za moto
Safi kabisa, kesho niko free nitakuja pande hizo kumsikiliza huyo mwamba. Na nitaongeza mchango tena wa gari mimi na mke wangu, na wapambe wangu kadhaa.Kwa Mujibu wa Taarifa iliyosambazwa na Chama chake , Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atahutubia Mkutano wa Hadhara Wilayani Temeke, DSM.
Nimeona magari ya Matangazo yakipita mitaani na kwamba mkutano huo utafanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga, Tandika
View attachment 2998314
Kwa vile kwa sasa niko DSM na Mwembeyanga ndio nyumbani kwangu basi utapata moja kwa moja Spana zikiwa bado za moto
Usiondoke JF
Kabisa yaaniNaona hapatatosha!
Akasome hotuba iliyoandaliwa na BUNGE kwa ajili yamaziko yakeKaribu sana
Mwembeyanga Kuna zindiko la CCM pale akitoka vurugu zitaanza ndani ya Chadema kutoelewana wao Kwa waoMikutano ya mwembe yanga inakuwa mwiba Sana Kwa CCM maana sikuzote Siri zote za mafisadi wa nchi zinawekwa wazi
Unaamini ushirikina?Mwembeyanga Kuna zindiko la CCM pale akitoka vurugu zitaanza ndani ya Chadema kutoelewana wao Kwa wao
Hapo hapo Lisu na Slaa waliowahi hutubia kuwa Lowasa ni Fisadi Namba moja Tanzania
Walipotoka hapo Lisu akaenda idhinisha kama mwanasheria nguli kuwa Lowasa kuwa mgombea uraisi Kwa tiketi ya Chadema na kuwa Lowasa Sio Fisadi ikasababisha kutoelewana na Katibu mkuu wa Chadema Dr.Slaa akatimukia CCM na mbele huko Lowasa naye akatimka Chadema akarudi CCM na katibu mkuu kwingine wa Chadema Mashinji akarudi CCM
Mwembe yake Kuna vizee vya CCM vimezindika uwanja si unajua Tena vizee vingi vikongwe vya CCM vinaishi Temeke
Mwembe yanga pasikie tu