Tundu Lissu kwenye spotlight: Unaikumbuka kesi ya Rais Magufuli? Clip yake haitaji "Rais Samia". Inataja "Rais" na "mama" tu

JPM ndiye mwanzilishi wa udhalilishaji wa viongozi. Musiba alikuwa anatukana viongozi mchana kweupe huku akiwa anacheza na kuruka ruka ikulu kwa baraka za Jiwe. Misiba alikuwa anatamba atakavyo kwasabb alikuwa analindwa na kufadhiliwa na jiwe
 
Lissu amekuja na id nyingine kujaribu kuonyesha jinsi huu utetezi utamsadia!
kipara kipya Tundu Lissu hawezi kuwa na unanimous ID kama wewe mwoga mwoga. Akitaka kukukabili anakuja kwako uso kwa uso live...

Kwa hiyo, Uzima Tele ni shabiki na mpenzi mkubwa wa falsafa na aina ya siasa na harakati za Tundu Lissu...

Pole sana kwa kufikiri na kudhani hivyo....
 
Chadema bhana πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahy mtu akisema Rais Samia ni tofauti na akisema Rais Samia Suluhu Hassan?
 
Yule hawezekaniki courtini!!!

Magu alimshindwa,

Risasi zilimshindwa,

Anatakiwa asikilizwe tu asemacho na anachoshauri,

Akimlilia Muumba wake mtaadhibiwa!!
KWa mateso aliyopitia hana raha yoyote hapo alipo, mnajifariji tu ni wa kuonewa huruma kwa aliyopitia hakuna ushindi wowote hadi sasa, labda aje kufanikiwa kuwa rais ambayo na yenyewe ni ndoto.
 
Hapa Itabidi tufanye duwa ili Mungu atuamulie huu ugomvi kwa mara nyingine
 
Na wewe ukapimwe marinda maana stori za yule kibenten wako ni kuwa unampeleka sana mitaa ya mpalange
 
Kichwa cha habari LISSU AMPIGA MKWARA MBUZI KIPARA KIPYA kwa kutumia id ya Uzima Tele!
 
Kesi za uchochezi ni za kikoloni hata Prof Kabudi alishasema zifutwe hazina mantiki wala.maslahi yoyote kw aTaifa zaidi ya watu binafsi
 
Huyo Lisu labda wamtishe tishe tu polisi halafu waachane nae. Kuna kesi ilikuwa hata haihusiani na muungano lakini jinsi alivyocheza na maneno ikatakiwa serikali/jamhuri ilete ushahidi. Jamaa wakaona ushahidi ukiletwa utatikisa muungano kuanzia hapo ikapigwa tarehe mpaka ikafutwa. Sasa kwenye hili nafikiri kafanya makusudi wakimpeleka tu mahakamani kuna vitu watatakiwa walete hapo sasa ndio itapigwa tarehe mpaka itafutwa.
 
Tutajie kesi moja mliomfungulia toka enzi na mkamshinda.

Kumbe ni ubobezi katika kulumbana na kesi zake za siasa DHIDI ya CCM??

Sasa huo ni ubobezi Gani,hata kamanda uchwara yericko Nyerere ameshindwa kesi nyingi tuh mahakamani.
 
Hivi Tindu Lissu na nape wapi na wapi!
Domo kaya ni mtu wa kupuuza ili mambo mengine yaendelee!
Nimeangalia hadi CV zao nimecheka hadi mbavu zinauma!! 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…