Marais hawa Wana ikulu!!!???
===
Bunge libatilishe Azimio lake juu ya bandari huku likiitaka serikali kuleta maelezo mapya ya mkataba/makubaliano baina yake na Dubai ambayo yanavigezo vyote vya kuaminiwa na watanzania wote!!!

JPM ndiye mwanzilishi wa udhalilishaji wa viongozi. Musiba alikuwa anatukana viongozi mchana kweupe huku akiwa anacheza na kuruka ruka ikulu kwa baraka za Jiwe. Misiba alikuwa anatamba atakavyo kwasabb alikuwa analindwa na kufadhiliwa na jiwe