Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marais hawa Wana ikulu!!!???Maana tuna Marais wengi kama Rais wa TFF, TLS nk nk.
Ikulu ni ofisi za taasisi wanazozi - Rais..!!Marais hawa Wana ikulu!!!???
===
Bunge libatilishe Azimio lake juu ya bandari huku likiitaka serikali kuleta maelezo mapya ya mkataba/makubaliano baina yake na Dubai ambayo yanavigezo vyote vya kuaminiwa na watanzania wote!!!
Jpm hayupo lakin musiba si yupo malizaneni naye ,jpm anaongiaje hapaJPM ndiye mwanzilishi wa udhalilishaji wa viongozi. Musiba alikuwa anatukana viongozi mchana kweupe huku akiwa anacheza na kuruka ruka ikulu kwa baraka za Jiwe. Misiba alikuwa anatamba atakavyo kwasabb alikuwa analindwa na kufadhiliwa na jiwe