Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzania wengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.

 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
 
Madudu ya akina Mkapa yalikuwa yanawekwa wazi, tofauti na tulivyoamishwana miaka hii mitano.
 
Ujumbe ni kwa MATAGA ambao tayari wameshamtangaza kuwa ni MALAIKA!
 
Tundu anajaribu kuwaambia wale mliokuwa wanamapambio ya mzee marehemu,nyie ndio mlimchukulia n kama malaika hata mabaya yake mliyatetea
 
Jiwe ndiyo kafanya madudu zaidi ya hao wote
 
Hivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
 
Huyu nae atulie huko aache kulaumu laumu,Rais hakua malaika saaana asikosee
 
Hakika unazidi kuthibitisha kuwa hata mapambio yenu yaliongozwa na UOGA, UNAFIKI na hasa NJAA.
Amen
 
Wapi kasema anadhani Magufuli alikuwa malaika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…