Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Calm down tindo, kijana hajielewi.
 

Amepanick huyo, alikuwa siku zote anajifanya ni mwanacdm, kumbe alikuwa mwanaccm aliyejificha kwenye sura ya cdm ili kubeba ajenda zao. Naona msiba umetokea ghafla akishindwa kuficha uhusika kwake, sasa hivi anatapika propaganda za ccm mpaka anachekesha.
 
Mimi nafikiri Lissu ameongea jambo la msingi. Ile dhana kuwa Atcl itafufuliwa na kuleta faida haipo tena maana ni hasara. Kwa hiyo tulichodhania kuwa tunapata urithi wa JPM kufufua ATCL tusahau. Hii hoja ya Lissu haipo kichama zaidi.
 
That’s why he will never ever be president.

Too infantile.

Nchi hii kwa sasa ina watu 60m, katika hao ni watu 6 tu wamefanikiwa kuwa marais, hivyo hata yeye asipokuwa rais, hilo sio tatizo kwani ni suala la Bahati zaidi kuliko uwezo. Una jingine tukusaidie?
 
Hata mimi imenishangaza sana alivyogeuka!
 
Mimi nafikiri Lissu ameongea jambo la msingi. Ile dhana kuwa Atcl itafufuliwa na kuleta faida haipo tena maana ni hasara. Kwa hiyo tulichodhania kuwa tunapata urithi wa JPM kufufua ATCL tusahau. Hii hoja ya Lissu haipo kichama zaidi.

Hili la kwamba ATCL ilikuwa haipati faida tulilisema toka mwanzo kabisa, kutokana na mwenendo wa uendeshaji wa hilo shirika. Lakini uendeshaji wake, na utetezi wake ulikuwa kichama na kisiasa zaidi.
 
Hili la kwamba ATCL ilikuwa haipati faida tulilisema toka mwanzo kabisa, kutokana na mwenendo wa uendeshaji wa hilo shirika. Lakini uendeshaji wake, na utetezi wake ulikuwa kichama na kisiasa zaidi.
Kwa hiyo? Leo mnajibu mapigo kichama?
 
Hata mimi imenishangaza sana alivyogeuka!
Huyo nilimstukia muda tu, but he was smart enough, finaly shaka yangu kwake imedhibitika baada ya msiba huu. Wala nisikufiche, hata cdm kuna baadhi yetu tunaikubali, lakini nina mashaka sana na Mbowe, na huyu alikuwa mtetezi wake kuhakikisha Mbowe anaendelea kuwa mwenyekiti wa cdm. Tunza hii post yangu kwa ajili ya uchakataji huko mbeleni, na ni nani alipeleka wanawake wa covid19 huko bungeni kinyemela.
 
Mnaanza kuvuana suruali sasa.
 
That’s why he will never ever be president.

Too infantile.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] you hate him so much ,the same scenario over here and there ,we hated you lord bacause he was a lunatic dictator .

Lissu never killed innocent citizen but your lord did that.

Hold my Coke.

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mbona unakuwa mgumu kuelewa? Tuliaminishwa kila kitu kiko sawa.
Nani aliyekuaminisha?tafuta hotuba ya Magufuri wakati anazindua bunge 2020,msikilize alisemaje, alisema vitendo vya ufisadi/rushwa bado vipo ila tutaendelea na mapambano,lete ushaidi aliposema ufisadi au rushwa vimeisha,kama sio porojo.
 
Fools
Fools. Eti angekuwa Magu angewatumbua on spot! Sema, hii ripoti isingesomwa kali ilivyosomwa leo. Asingependa watu tujue kuwa ATCL inaendeshwa kwa hasara.

Wakati mwingine watu wa aina yako huwa siwaelewi.
 
Nenda kaburini ukalale na marehemu aendelee kuwa bwana ako
 
Kwa hiyo? Leo mnajibu mapigo kichama?
Mimi nilisimamia ukweli bila kupotezwa na propaganda mfu za awamu ya Magu. Na kama huyu mama ataamua kweli kusimamia ukweli bila kuchengesha, utajua misimamo yetu dhabiti dhidi ya utawala katili uliopita, tulikuwa sahihi kwenye mambo mengi. Tunaposema Mungu ameamua kufanya mabadiliko ya kweli bila kumwaga damu hatukosei.
 
Mkuu lakini kipindi chake mlisema amemaliza ufisadi na shirika linaingiza faida[emoji16][emoji16]
 
Mh..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…