Waweza nitajia maovu ya Jiwe ndugu Mataga/MnyongeLissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Kutoshtakiwa haimaaanishi kuwa hakuwa sahihi.atueleze kwanza kwanini alikuwa hataki barrick ichungunguzwe na kusema tutashitakiwa MIGA
Huyu mwehu tulimkataa kwenye sanduku la kura, hapaswi kuwa mshauri kwa Serikali tuliyoichagua kwa kura.Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzania wengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
Ulidhani Lissu ni kama Jiwe kwenye ishu ya Covid? Yeye anaamini katika science na siyo ushirikina kama wew na malaika wakoHivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Bado anaishi na hasira dhidi ya Magufuli, kumbuka huyo mtu sasa hivi yupo kwenye nyumba yake ya milele.Lisu hana shida ya mfumo wa umeme kwenye moyo
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
I'll be forgiven for saying that there isn't much regarding Jiwe that merits serious intellectual discussion. His shortfalls were unashamedly displayed to the public (e.g. his threats to the DEDs regarding election results, journalists and "traitors"). He was largely a mistake; a sad consequence of this nation's failure to stand up to tyranny and uphold the virtues of honesty, objectivity and accountability in our leadership.
Risasi hazikumchukua, ulitaka na Covid imchukue?? na hata shetani anawaza kumchukua hivyo hivyo, nafikiri ni Mungu pekee atamchukua.Hivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Huyu Magu si ndio aliekuwa analalamika kwamba watangulizi wake wamelea sana wizi,kikowapi sasa?Yani hili genge la wasukuma limekwiba pesa sana,Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Sio malaika lakini alikuwa Mwongo sana.Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
TL ataendelea kudunda waovu wote mtapukutika yeye atabaki. Serikali ya mtukufu leo hata kuzimu hajafika tayari warithi wake wameonesha uchafu wake aliokuwa akificha miaka yoteHivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Lissu anazidi kujipa stress kwa kumshambulia marehemuLissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Unajua ni bora watu wakajua hauna akili kwa kuhisi,kuliko ukawathibitishia kwa maandishi au maneno yako.Sina muda mchafu wa kuthibitisha mambo ya kipuz ya watu wapuzi kama mtume wenu mnayemubudu.
Watanzania au wanaCCM, sisi watanzania tunampenda sana na tunamuombea maisha marefu.Lissu anazidi kujipa stress kwa kumshambulia marehemu
Huu muda angeutumia kujaribu kuwaomba msamaha watanzania badala yake anazidi kujishusha
Magufuli kapewa ripoti ngapi kuhusu DG wa TPA na kafanya nini muda wote huo na kwa nini hajamchukulia hatua mpaka Magufuli anafariki?Hio ripoti ilikua katikat ratiba ya kumkabidhi Mafuguli, hayo yote angeambiwa, haijaandikwa kwajili ya Mama Samia
Tafadhali sana, usilinganishe tawala za kiungwana zilizopita na huu uozo uliopita.Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Mkuu, kwani mimi nilikwambia nina mshiriki hapa JF?Hebu jisomeni muone kama mtajielewa! naona mmoja anakubali mwingine anakataa, sasa nimuamini yupi kati yenu?
Na enzi za JK ndiyo usiseme mkuu, Wabunge walikuwa wanaongea mpaka wanatokwa na damu puani, lakini enzi za JPM mmh! Ukikosoa serikali tu defenda inasogezwa pembeni kesi za uhaini, uchochezi, uhujumu uchumi, mpaka unasalimu AMRI.Madudu ya akina Mkapa yalikuwa yanawekwa wazi, tofauti na tulivyoamishwana miaka hii mitano.
Mkapa alikuwa mwandishi wa habari by professional kwaiyo aliruhusu freedom of speech ila kwa huyu hayati haikuwa hivyo R.I.P JPMMadudu ya akina Mkapa yalikuwa yanawekwa wazi, tofauti na tulivyoamishwana miaka hii mitano.